mwallu niambie hisia kasha imba?
Pamoja na his super voice, U know Hope was a musician already.. Keshaimba na artists like Kidumu.
Nyambura kwangu mimi kaimba kawaida.
nilimiss uwepo wako jana, umekosa fainal ya bss.
Amos and josh on stage.
hahhaaaaaaaa jana narudi home nikakuta wanaimba wlikua mwishoni nadhani sikuweza
hata kangaliaaaa unajua.....BSS ilikwaje nayo
majanga plus plus