Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,754
- Thread starter
- #2,181
ndo namkuta hisia
kuna wengine washaimba?
kwa contestants.......ndio wa kwanza
ndo namkuta hisia
kuna wengine washaimba?
Hisia jamani jana hajatoka kumbe
Phiona na Kojjo
Hakutoka dear.. so happy
Nimewamiss sanaa kwa kipindi cha nyuma mahudhurio yng yajaridhisha but its due to sm majukumu DEMBA, Heaven on Earth, Little Angel, Ruta Mwalu, na wengine niliowasahau kuwataja
halafu wewe mbona nimekumiss sana
Hakutoka dear.. so happy
Kojjo nilihisigi tu atakuja kutoka........sijui Hisia atakuja kuingia na top 3
Miss u tooo
am more than Happy...Yesterday I was so worried
kaimbaje hsia Little Angel ? Nimechelewa kidogo
am glad your back mu dear
Daisy hakosei jamani.. Mpambano unazidi kuwa mkali!