Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Heaven on Earth mumeo hisia angekuwa anachangamka kama kina Josh sjui ingekuwaje yaani sijui
 
Last edited by a moderator:
Today is semi final. Thats why wanasifia tu. Madai yao makapi yameisha.. However i think kuna kapi moja limebaki
 
HAHAHAHAAAAAA DEMBA have mercy on my ribs LOL

nacheka sana......mi nimerudi nikaona hivi ni vi nini nikaenda zangu kulala

yaani hovo hovyo. hao washiriki sura hazionekani, taa zina mirangi ya ovyo ovyo. huyo mshindi sasa ndio majangaaaa.
cha kushangaza zaidi sasa eti hadi saa nane usiku wanalazimisha watu waendelee kupiga kura.
 
kwani bss wanashindwa nini kuweka kamera kama hizi za tpf? mtu unaona vizuuuuriiiiii
 
my best tpf season was ile ya kina alpha bana..ile ilikua moto

mwaka ule washiriki wa tz walikuwa wadada, mmoja kuna siku aliteleza akiingia stejini. unamkumbuka jina lake?
 
Back
Top Bottom