Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,369
- 29,602
nani alitokaa jana...........sijafatilia na hata sa hivi sijasoma updates zenu
Kojjo na Phiona..
nani alitokaa jana...........sijafatilia na hata sa hivi sijasoma updates zenu
Kojjo na Phiona..
Joey...
Mkuu furahi unaweza ukanipa link ya huo wombi au msanii, au jina la huo wimbo....Nimeupenda bure...
Patrick hajanigusa...lets wait 4 judges
Nimewamiss sanaa kwa kipindi cha nyuma mahudhurio yng yajaridhisha but its due to sm majukumu DEMBA, Heaven on Earth, Little Angel, Ruta Mwalu, na wengine niliowasahau kuwataja
Nimewamiss sanaa kwa kipindi
cha nyuma mahudhurio yng yajaridhisha but its due to sm majukumu
DEMBA, Heaven on
Earth, Little Angel,
Ruta Mwalu, na
wengine niliowasahau kuwataja
nani alitokaa jana...........sijafatilia na hata sa hivi sijasoma updates zenu