live updates.SIMBA VS RUVU SHOOTING

Hahah mkuu kuna jamaa jana waliokimbia kung'oa visiki huko Bunju wameingia uwanjani Taifa kung'oa viti...

Sure, hizo nguvu wangezipeleka Bunju uwanja ungekuwa tayari na leo wangechezea hapo.
 
utasikia msimu ujao yanga wanaleta mizengwe wamsajili.

Lazima iwe hivyo! Na yeye msimu ujao acheze mechi za kimataifa. Haiwezekani misimu miwili mfululizo aishie kucheza mechi za "mchangani"!!
 
Hivi ruvu shooting inacheza na timu gani leo????
 
dk 16, elias maguri anaenda benchi..mabadiliko ruvu
 
Naona Zdravko Logarusic anataka kumuingiza Humid..kwenye pitch mvua imeacha ila wachezaji wanateleza mno.
 
bora simba leo ashinde tuwahi kurudi mtaaniii kila siku sooo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…