Live Updates: SIMBA Sports Club vs TP Mazembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live Updates: SIMBA Sports Club vs TP Mazembe

Discussion in 'Sports' started by Saint Ivuga, Apr 2, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,847
  Trophy Points: 280
  Leo ndio leo asiye na mwana(kandambili) abebe jiweee,
  iwe isiwe lazima kombe linyakuliwee,
  hii ni mechi kali ,
  kati ya mnyama na timu tp wazembe,
  mechi inachezwa leo jumapili tr 03/04/2011
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Kama ni hivyo, ushindi wapewe Simba point 3 na goli mbili.
   
 3. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Matatizo ya Usimba na Uyanga yametufanya Watanzania tuendelee kufungwa kama wendawazimu.

  Watanzania hatuna uzalendo inapofikia timu binafsi zinacheza kuwakilisha nchi, utakuta Yanga wanashabikia Mazembe km was******n***e vile! Mijitu na akili zao yanasahau kuwa hapo inayocheza ni Tanzania na siyo Simba, simba inakuwa ni jina tu, lakini unakuta mijitu mizima na ndevu hadi mk**** yanapiga kelele kushabikia Mazembe. Aibu kubwa na tutaendelea kufungwa daima.

  na hali hii si kwa Yanga tu kuzomea Simba, bali pia Simba wana tabia hiyo hiyo ya Ki-maniac, kuwazomea Yanga wakiwa na mechi za Kimataifa.

  Hii ni sawa na kumwona baba yako yuko mtupu unaanza kucheka ni laana tupu.

  Mie inaniuma sana kuona Watz hatuna utaifa, hatuna umoja inapokuja ktk mslahi ya Taifa letu. na haya yamechangiwa na mengi, kwani hata viongozi wetu wako katika mkumbo huo huo. Unakuja jitu kiongozi lakini lina ushabiki wa kishenzi usio na manufaa yoyote kwa Taifa, mradi limesikika sauti tu. Hii inanikera sana tena sana, natamani hata sunami ije iwameze watu wa tabia hii wapotee kabisa. Sina hamu na watu wa hivyi natamani nikawafungie senyenge jangwani wakauke kwa kiu.

  Ndio maana hata maendeleo hakuna, sababu za ushabiki usio na maslahi kwa taifa, kuanzia siasa, udini, ikabila, ufisadi, uzinzi, ufataki n.k Kwa kuendekeza mambo haya hatuwezi songa mbele hata siku moja. Tutakuwa wapiga kelele tu na kuishia kunywa pombe na kucheza ngoma.

  Tuache ushabiki usio na manfufaa, tutafakari mambo kabla ya kujiweka washabiki wasio na mwelekeo.

  Usimba na Uyanga tusipouua katika mechi za kimataifa tuaishia kufungwa tu kila siku hata km wachezaji wetu watajituma kwa moyo mmoja. Hamasa huwatia nguvu wachezaji na huongeza ari ya ushindi lakini siyo zomea zomea isiyo na maana.
  TUBADILIKE KWANZA
   
 4. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kumbe ni TP WAZEMBE.....hawatoki taifa kesho bila ya kichapo cha 2-0!! SIMBA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu cha Muhimu ni kujiandaa na game ya kesho tuachane kwanza na story za kuhonga marefa

  Hii ije baadae tayari tunaushindi tusijebweteka na wa mezani tukaacha kukaza msuli kiwanjani

  Kesho ni kutafuta goli 2 - 0 kesho then hayo mengine baadae
   
 6. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Kunya anye kuku akinya bata kaharisha usiangalie upande mmoja simba mna tabia hii sana tu hamna uzalendo hata mnaposhinda hamuishi kuwazodoa yanga NDO MAANA MNAZOMEWA KAMA MNAVYOZOMEAKA BADILIKENI,matusi hayatawasaidia sisi wote ni watanzania
   
 7. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hapo ndo penye utamu wa UTANI WA JADI kama ulikuwa hujui! Adui yako siku zote muombee njaa! Nenda nchi yoyote duniani, lazima kunakuwa na timu pinzani na hata siku moja hawawezi kushangiliana, yaani nishangilie adui yangu, haiwezekani kabisa! Leo nilikuwa pale kwenye hoteli ya TANSOMA, kuna wakongo kibao wamekuja kuishangilia timu yao na mimi nimeambulia t-shirt ambayo mgongoni imeandikwa TP MAZEMBE na kifuani SUPPORTER AVEI! Kama mlivyotuzomea kwenye mechi yetu na DEDEBIT na sisi itakuwa hivyo hivyo! Mwisho wa siku sioni mshangiliaji anachangia vipi matokeo ya uwanjani kama wachezaji wanafanya madudu??!! Rage naye asijue jana ilikuwa Fool's Day anakurupuka kama ilivyotokea mwaka fulani hapo nyuma aliposhabikia ujio wa Ruud Gullit kule Kenya, kwenye kipindi kile cha Paschal Mayalla cha KITIMOTO live kwenye ITV, asijue ilikuwa joke ya kwenye magazeti siku kama hiyo ya 1st April! Poleni Dioko Kaliyutuka lazima awatungue kama alivyowafanyia wale walatin amerika Inter kwenye FIFA world club championship!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Tunawatakia kila la heri Simba.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,847
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,991
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Kufikiria tu (achilia mbali kuwa na matumaini) kuwa eti Simba hii ya akina Nyoso itaishinda TPM kunahitaji mtu afanyiwe sanity check!
   
 11. n

  nexus Member

  #11
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  acheni hizo mnakuwa na imani za ajabu! Simba anaweza kumfunga mazembe
   
 12. n

  nexus Member

  #12
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  mimi ni yanga ! Huwezi kunilazimisha nimshangilie simba huko ni kuua demokrasia tuacheni tuizomee simba ili nadhani itawasaidia zaidi
   
 13. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Simba kesho fanya kweli, endeleza mambo yetu yaleee ya kuwanyanyasa mabingwa watetezi
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Leo Wazembe ni wanakula 2...
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Leo Wazembe ni wanakula 2...
   
 16. m

  matunge JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  jamani!! TV gani itaonesha mechi live?
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Startv ingawa bado haijawa confirmed...vipi dr hajambo
   
 18. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwa mtaji huu Tanzania itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu daima.....................
   
 19. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tuliza murkali ndogo....Wazembe leo ndo watajua Simba hapendi Wazembe.......maana ukizembea kwa SIMBA unakuwa ASUSA
   
 20. m

  matunge JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  dr! yupi mkuu?
   
Loading...