demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,288
- Thread starter
- #161
we jamaa utakuwa ndo wale division 5 kabisa yaan hata hoja zako naziona ni zile za wanayanga wanaokaa pale kumpraise manji. tambwe amekuja yanga baada kuachwa simba si kwamba alitolewa yanga. umesahau kanjubai alinyang'anywa OKWI na aveva akasema anaenda kushtak fifa mpaka leo hajarudi tena
Wewe ni chizi kiasi ambacho hujitambui.
Sasa baada ya kuchukua huyo Okwi amewapa Kombe la Ligi Kuu...?