Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

Hao wote wateja tu, hatuwezi kushabikia wateja wetu.

Hatuwezi kushabikia Bingwa wa Kichina wala Bingwa wa Zamani Feki. Fanicha za kichina kiboko yake Mvua tu na mvua ndiyo Simba FC.
Hahahahahahah kama ninyi mlivyo washiriki feki wa ligi ya bara na mvua yenu ni Mbeya city, hata mfanyeje lazima mkae pale. Mbeya city kweli wanaume
 
Nafurahi umekubali kuwa yanga ni mabingwa feki, unawezaje kutumia milioni 928 ili upate milioni 70? unafikiri 928M zimetumika kusafirisha timu mikoani tu?
 
kesho tunaadhimisha siku samba alivomshangilia etoile, siku alivotupiga viti, siku alivowasha fataki kushangilia alahl kesho tunaonesha kumbukumbu,tutakumbuka azam alivomnyima national uwanja
 
Hehehehe! na jerry Muro ameshasema kwamba ili Yanga Fc imfunge Azam FC hapo Kesho mashabiki wa Simba wanatakiwa watinge mashati ya Njano la sivyo wasitulahumi.
 
wachezaji yanga wana uchovu na majeraha.simba wacheze wenyewe
 
Back
Top Bottom