demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,288
- Thread starter
- #141
kumbe watani ni wazuri i mean simba ni wazuri sema siasa tu nayo inaharibu mpira nlitaman sana nasi siku moja tuwagonge hawa watu maana simba sasa wanajisikia.
We endelea kuwasifia tu...
Wangecheza kama hivi leo dhidi ya Etoile du sahel..... Hahaha! MVUA YA MAGOLI INGEWASHUKIA......!