Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Yanga wenzangu wamenisikitisha sana wanajisifu tu kuoanda ndege... kumbe ndo walichofata huko tunisia kuoanda ndege? huu ujinga na ndo maana manji anatukalia kiunon kwa sabab hi hii.... turudi tu homw tupumzike maana sasa hatuna kubwa zaidi.
Kuoanda ndege tena twice? Homw. Mbumbumbu kazini