Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

Kuna kipande cha swali haujajibu hapo, halafu naona unazuia nisiulize tena! Basi nipe jibu la hilo swali uliloliacha, mmefika walau robo fainali ya mashindano ya CAF mara ngapi? Hiyo robo fainali ina maana kubwa katika biashara ya mpira na ndio maana nauliza, ukitaka ufafanuzi, nitaanzisha thread maalum ya ruzuku za CAF zinavyozinufaisha klabu za Ahly, Zamalek, TP Mazembe, ASEC Mimosas, Orlando Pirates na nyingine nyingi kama hiyo Etoile SS. Ila kwa sasa nauliza, mmefika walau robo fainali ya mashindano ya CAF mara ngapi?

Sioni maantiki ya kukujibu kwa sababu jibu unalo ingekuwa vizuri uweke humu kwa faida ya wengi kama unafaham kama hujui sema nikujibu. HAYA HATA KAMA HATUJAFIKA THEN WHAT.? NDIO MTAPEWA UBINGWA AU? Au hiyo robo fainali unayoipigia kelele mmefika mara ngapi kumi au ? WEWE KWELI KILAZA HATA SIPOTEZI MUDA WANGU TENA KUKUJIBU
 
Watu 7 wamesawazisha.....!

😁😁😁😁😁😁
 
hivi mara ya mwisho kushiriki mashindano ya kimataifa ilikuwa mwakan gani?, Na mlicheza Na timu ipi, kutoka nchi gani? Na mliishia round ya ngapi?? na aggregate ilikuwaje??? Naomba unikumbushe tafadhari

mkuu wakikujibu hayo yote bila kuongopa nistue tafadhali
 
Kwa lugha hiyo, you don't deserve to be among soccer family members, wala haitakuwa busara kudiscuss na wewe

Hata mimi sioni sababu ya kujadili na wewe ikiwa upo miongoni mwa mashabiki

- wanao amini ubingwa wa ligi Kuu Tanzania ni KUMFUNGA YANGA TU....!

- wanao Amini kufika nusu fainali ya kombe la shirikisho ni Mafanikio tosha ya kujivunia....!

- wanao Amini kwamba huwezi kumfunga YANGA Fc mpaka ufunge safari ya kwenda Zanzibar.....!
 
Wenyewe wanasema mashindano ya kimaTAIFA ni kwa ajili ya timu ya TAIFA!

Inabidi tuwaulize kama Yanga Fc ilienda Tunisia kiwakilisha kitongoji cha Bagamoyo...?
 
Simba kapata bao Simba 2 Azam 1
 
Watanzania acheni uchawi mtu akishinda mechi eti kanunua
 
Back
Top Bottom