Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

hivi ninyi wafuasi wa mikia fc, Yanga atakapokuwa anacheza na Azam mtaishabikia timu gani ?
 
Simba hiko vizuri wewe......

Ninyi mikia fc kuna mtu kawauliza lakini hamjibu mana ninyi ni mabingwa duniani wa kusimulia historia. Jibuni hili mara ya mwisho simba kushiriki mashindano ya kimaitafa ilikuwa mwaka gani !, iliishia raundi ipi na kwa magoli mangapi !
 
Ongereni Mikia FC... Lakini nafasi ya PILI haiwahusu.
 

Attachments

  • 1430666422218.jpg
    1430666422218.jpg
    48.4 KB · Views: 442
mi yanga nitaishangilia azam mechi yetu hata cannavaro anajua
 
kumbe watani ni wazuri i mean simba ni wazuri sema siasa tu nayo inaharibu mpira nlitaman sana nasi siku moja tuwagonge hawa watu maana simba sasa wanajisikia raha sana wanapotembea mitaani kwa kutufunga yanga mara mbili. mi hilo ndo linaloniuma sana. simba kutupakata kila wakati mpaka tunapokutana nao tunakuwa wanyinge sana. simba leo mmeshinda ila nina waswas mnaweza poteza mech zijazo
 
Sasa timu yetu ya yanga ina majeruhi wafuatao-Niyozima, Tambwe. Sherman,Yondani, Joshua, Abdul.Ngasa,Msuva. Mustafa, Dida je tutaiweza Azam ? Ni wazi tutapigwa hata tano hofu yangu ni kwa Simba tu waje kuishngilia azam kama kawaida yao. Unajua azam walitupa uwanja wa mazoezi na wakawakatalia al ahl, unajua samba walikaa jukwaa moja na wamisri na watunisia wakawasha fataki? je wajua?
 
Back
Top Bottom