Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

Halafu Mbona hawatokei kutoa update Za mechi yao???
Kwa tathmini ya haraka haraka utaona kwenye uzi huu waliojaa ni kandambili kufarijiana kwamba wamepanda ndege hadi Tunisia! Ni aibu kushindwa kutoa walau sare; yaani timu inacheza pungufu ya mchezaji mmoja lakini inakuwa na ball possession ya 51% against 49% plus ushindi juu
 
Kufurahia kupata nafasi ya uwakilishi ili tu upande ndege ni ushamba! Kama unaona ni dili kupanda ndege, unaweza kwenda Uturuki tu kwa ndege wachezaji wakapigepige mipira warudi tena kwa ndege. Ni ushamba kushabikia kupanda ndege halafu robo fainali hufiki!

Mkuu hili jukwaa la Michezo sio MMU au Chit Chat kule utokako huku tuna lugha zetu za kimichezo. NDEGE HAMPANDI INAMAANISHA KUWA KULOGA MNALOGA LAKINI MASHINDANO YA KIMATAIFA HAMSHIRIKI. Nadhani umenipata hapo.
 
Simba piga Azam ukatuwakilishe kimataifa sio hawa wanaoanguakia pua kila uchwao. Simba juuuuuuuuuuuuuuuuu

hivi mara ya mwisho kushiriki mashindano ya kimataifa ilikuwa mwakan gani?, Na mlicheza Na timu ipi, kutoka nchi gani? Na mliishia round ya ngapi?? na aggregate ilikuwaje??? Naomba unikumbushe tafadhari
 
... NDEGE HAMPANDI INAMAANISHA KUWA KULOGA MNALOGA LAKINI MASHINDANO YA KIMATAIFA HAMSHIRIKI. Nadhani umenipata hapo.
Haya, kwa lugha hiyo hiyo; umepanda ndege mara ngapi na umefika robo fainali mara ngapi? Nataka nijue tija ya kupanda ndege!
 
Wanaonunua mechi wapo Tunis kufanya shopping (sio kuibuka washindi na kuingia walau robo fainali)

naona mnatafutiwa nafasi ya pili kwa nguvu zote TFF imeamua kuwabeba kotekote si kwenye kagame si kwenye ligi mambo ya nyange kaburu hayo mshindwe wenyewe tu mapopoma mikia
 
hivi mara ya mwisho kushiriki mashindano ya kimataifa ilikuwa mwakan gani?, Na mlicheza Na timu ipi, kutoka nchi gani? Na mliishia round ya ngapi?? na aggregate ilikuwaje??? Naomba unikumbushe tafadhari

Wanadhani Etoile Du Sahel ni sawa na Libolo.
Wasubiri angalau miaka mitano kushiriki kimataifa.
 
hivi mara ya mwisho kushiriki mashindano ya kimataifa ilikuwa mwakan gani?, Na mlicheza Na timu ipi, kutoka nchi gani? Na mliishia round ya ngapi?? na aggregate ilikuwaje??? Naomba unikumbushe tafadhari

Mbona unawakera mashabiki wa Mikia FC... Huwa hawapendi kuulizwa hilo swali..
Maana JIBU LAKE NI LAZIMA LIWE NA NAMBA 2007.
 
hivi mara ya mwisho kushiriki mashindano ya kimataifa ilikuwa mwakan gani?, Na mlicheza Na timu ipi, kutoka nchi gani? Na mliishia round ya ngapi?? na aggregate ilikuwaje??? Naomba unikumbushe tafadhari

Ngoja niweke vizuri swali lako. Ningependa uandike hivi: Hivi umeshiriki mashindano ya kimataifa mara ngapi, na kati ya hizo umefika walau robo fainali mara ngapi? Kwa tunaoamini katika sayansi, ufanisi hupimwa kwa kuangalia uwiano wa output over input
 
Haya, kwa lugha hiyo hiyo; umepanda ndege mara ngapi na umefika robo fainali mara ngapi? Nataka nijue tija ya kupanda ndege!

Kwanza nikuweke sawa katika historia then nikujibu swali lako. YANGA NARUDIA TENA YANGA Ndio timu ya kwanza Tanzania kushiriki mashindano ya kimataifa.

Tuje katika swali lako Kama Yanga ni bingwa mara 25 ligi kuu na nyie mambumbumbu Mara 18 basi yanga mashindano ya kimataifa kashiriki sana kuliko nyinyi au TIMU YOYOTE ILE TANZANIA NARUDIA TENA KASHIRIKI MARA NYINGI MASHINDANO YA KIMATAIFA KULIKO TIMU YOYOTE ILE TANZANIA.

NOTE: Ukiuliza uliza tena swali la Maana si haya ya ambayo yako wazi. MPAKA SASA KWA MASWALI YAKO UMEDHIHIRISHA WEWE NI MBUMBUMBU ULIYEKOMAA UMEMZIDI HADI AVEVA
 
Haya, kwa lugha hiyo hiyo; umepanda ndege mara ngapi na umefika robo fainali mara ngapi? Nataka nijue tija ya kupanda ndege!

Kwa sasa kinacho matter ni kuhakikisha tunashiriki kimataifa mara nyingi iwezekanavyo... Bila kujali nafasi ambayo tuna ishia.

Kuhakikisha tunapanda ndege kila msimu.. Wakati wewe ukaendelea kupanda yale maboti ya BAKHRESAH kwenda KUROGA huko Zenji.
 
Yanga wenzangu wamenisikitisha sana wanajisifu tu kuoanda ndege... kumbe ndo walichofata huko tunisia kuoanda ndege? huu ujinga na ndo maana manji anatukalia kiunon kwa sabab hi hii.... turudi tu homw tupumzike maana sasa hatuna kubwa zaidi.
 
unamaanisha mabingwa wako au?,
Hawakuenda Tunis kama mabingwa wa mwaka huu, ila washindi wa pili wa mwaka jana. Tujitokeze airport kuwalaki 'washiriki' wetu wa mara kwa mara bila mafanikio
 
Haya, kwa lugha hiyo hiyo; umepanda ndege mara ngapi na umefika robo fainali mara ngapi? Nataka nijue tija ya kupanda ndege!

nadhani hilo hilo Swali ungeanza kujiuliza kwanza wewe mwenyewe mtu wa mikia ukishanijibu ndipo na mim nitakujibu...litimu lenu sikuhizi nimekupa lakucheza ndondo Na mechi Za mchangani hayo mashindano ya kimataifa mtayaonea wapi kama Sio kwenye tv tu kama ilivyokuwa jana
 
Kwa tathmini ya haraka haraka utaona kwenye uzi huu waliojaa ni kandambili kufarijiana kwamba wamepanda ndege hadi Tunisia! Ni aibu kushindwa kutoa walau sare; yaani timu inacheza pungufu ya mchezaji mmoja lakini inakuwa na ball possession ya 51% against 49% plus ushindi juu

Na wewe anzisha uzi ili mpeane FARAJA baada ya kushika nafasi ya TATU (3).
 
Israel nkongo hy alishawahi kupigwa na yanga...mechi ya yanga na azam..km sikosei

Yanga Football Club sio Klabu ya kufundisha soka tu... Huwa tuna kawaida ya kufundisha waamuzi jinsi ya kuchezesha soka.
 
Back
Top Bottom