Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

leo nipo azam kwa mkopo wa dk 90.....azam nipigie mikia aka mambumbumbu aka pakashumi wa msimbaz
 
Wanajangwani shangilieni azam labda itawafariji ila simba ni taifa kubwaaaaaa
 
Daah simba wenyewe hawapo jukwaani....shida
 
Mwakani mtaishia round ya kwanza tu.. Hamna uzoefu na mashindano makubwa
 
Hata tukiishia round ya kwanza ukweli utabaki palepale Yanga ndiye atakayekuwakilisha kimataifa taka ustake shangilia usishangilie wewe mbumbumbu na wananchi wote wa Tanzania

Nyie mtabaki na litimu lenu kila msimu mnalipishwa faini za ushirikina na NDEGE HAMPANDI. Badilikeni acheni kucheza soka la kishirikina anzeni kucheza soka la kitabuni kama Yanga
 
wanajidai kujitoa ufahamu wakati ukweli wanaujua mambumbumbu bwana!!
 
Simba piga Azam ukatuwakilishe kimataifa sio hawa wanaoanguakia pua kila uchwao. Simba juuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Hata tukiishia round ya kwanza ukweli utabaki palepale Yanga ndiye atakayekuwakilisha kimataifa taka ustake shangilia usishangilie wewe mbumbumbu na wananchi wote wa Tanzania

Nyie mtabaki na litimu lenu kila msimu mnalipishwa faini za ushirikina na NDEGE HAMPANDI.
Kufurahia kupata nafasi ya uwakilishi ili tu upande ndege ni ushamba! Kama unaona ni dili kupanda ndege, unaweza kwenda Uturuki tu kwa ndege wachezaji wakapigepige mipira warudi tena kwa ndege. Ni ushamba kushabikia kupanda ndege halafu robo fainali hufiki!
 
Uchumi umekuwa mbovu kwa mashabiki wa Viti Maalumu! Mbona uwanjani wako wachache sana!
 
Back
Top Bottom