Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

Mkuu nimelipia na muda mchache uliopita nilikuwa naangalia ghafla ikakata. Na haionekani hata chanel moja. Hadi ya matangazo. Duh naona navyoikosa mechi kali kama hii.
Ngoja waje wataalam watakusaidia, ila wakat unawasubir wataalam ili wakusaidie unaweza kwenda kwa jiran yako kuangalia jinsi azam watakavyomkata simba mkia.
 
Wakuu mbona kwangu azam imekata? Nimewasha muda huu nianze kufatilia highlights naona inaandika access denied kulikoni??? Ni kwangu tu au kote???

Lipia!
 
Mpira umeanza hapa taifa.
Simba 0-0 Azam
 
Channel gani wanaonyesha mechi ya Simba na Azam?
 
Naam bila shaka, naomba tukutane tena katika muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo Azam FC akiminyana na Simba sc hivi leo.

Vikosi vya timu za AZAM FC na SIMBA S.C vinavyoanza leo;

Azam fc
__________________
1.Aishi Manula
2.Shomary Kapombe
3.Gadiel Michael Mbaga
4.Aggrey Morris
5.Pascal Wawa
6.Himid Mao
7.Salumu Abubakar
8.Frank Domayo
9.Didier Kavumbagu
10.Kipre Tchetche
11.Brian Majwega

Simba sc
__________________
1.Ivo Mapunda
2.Hassan Kessy
3.Mohamed Hussein
4.Joseph Owino
5.Juucko Mursheed
6.Jonas Mkude
7.Ramadhan Singano
8.Said Ndemla
9.Ibrahim Hajibu
10.Emanuel Okwi
11.Awadh Juma.


Naitakia kila la kheir timu ya AZAM FC inipigie hiyo mikia irudi msituni kwao walikozoea..


Mechi saa 10.00 Jioni.

heee!!!..kumbe leo simba na azam wanacheza!!!....hii mechi haina mvuto kwenye vyombo vya habari.
 
Game imepooza sana au sijui kwa sababu jana tumetoka kuangalia pambano la maana kati ya du sahel vs yanga!!?
 
Game imepooza sana au sijui kwa sababu jana tumetoka kuangalia pambano la maana kati ya du sahel vs yanga!!?

Lazima game lipooze tu. Azam no 2 mikia no 3. Wanakamilisha ratiba tu.
 
Game imepooza sana au sijui kwa sababu jana tumetoka kuangalia pambano la maana kati ya du sahel vs yanga!!?
Hivi matokeo yalikuwaje? Nani amesonga mbele na atakutana na timu gani?
 
Hivi vijana wa Msimbazi wamekimbiwa na mashabiki wote nini? Mbona kibongo bongo mechi kubwa lakini uzi hauendi. Kama wamesusia litimu lao ngoja sisi wana koma kumwanya tuwasaidie kuchangamsha genge
 
Back
Top Bottom