live updates;RUVU SHOOTING VS YANGA SC

Goooooooooo 7!
Yani wamepigwa wiki lol!
Tanga:Coastal union1-0Mbeya City.
 
ulikuwa ni mpira wa kurushwa...uliomkuta msuva ndani ya boksi..akapiga shuti kuelekea kwenye angle ya nyuzi 90 kuiandikia dar young africans goli la 7!
 
haya maneno yako mbna zikicheza na azam huyasemagi?
Mkuu, kila siku nimekua nikilipigia kelele jambo hili sio leo tu. Kwanza we huoni imekaa kinyume mmiliki mmoja kua na timu zaidi ya nne kwenye ligi moja? Hawa jamaa wanatakiwa waunganishe timu zao zote ili iwe moja tu, sio kila kambi iwe na timu yake.
 
Mabao ni...


Ruvu shooting 0-7 yanga sc


dk 38 kipindi cha pili...
 
na inavyosemekana azam kainunua moro utd, itakuaje hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…