I hope atashindaKiukweli mimi naona ni 50 50 jamaa wa Angola naye yupo vizuri, ni piga nikupige![]()
Nitashangaa sana Msukuma wa Bariadi (Mayala) apigwe na mtu laini kabisa kutoka TangaKiukweli mimi naona ni 50 50 jamaa wa Angola naye yupo vizuri, ni piga nikupige![]()




Let's keep fingers crossed 🤞I hope atashinda
Kwahiyo unapenda ashinde ndugu yako Mayala? Aah simpendii😀Nitashangaa sana Msukuma wa Bariadi (Mayala) apigwe na mtu laini kabisa kutoka Tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio siri niko upande wa MayalaKwahiyo unapenda ashinde ndugu yako Mayala? Aah simpendii![]()