financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,362
Dah vipi offer bado iko valid mkuu?😋Karibu sana ila juzi kati ulikimbia ofa ya mdudu pale Mamas
Dah vipi offer bado iko valid mkuu?😋Karibu sana ila juzi kati ulikimbia ofa ya mdudu pale Mamas
😀😀 kaoga weweThubutuu, ili iwe nini baadae? 😇 Eti pointi ni kupigwa usoni, matatizo yanikute kwa bahati mbaya, nisiyatafute kabisaa.
Ila kwa ile pesa aliyopewa Pacquiao, naingia fronti in four bila shida😅. Mama, Pesa na kiburudisho ndo uzaifu wetu🤣😀😀 kaoga wewe