Live Updates: Press Conference CHADEMA Makao Makuu Leo tarehe 18/06/2013

Status
Not open for further replies.
Eee bhana kumbe inawezekana kuwa ignore ! Mimi ninao kama Watano hivi , on top of my List yupo huyu Ritz !

Mkuu Erythrocyte, hiyo ndio dawa yao. Just waweke huko ambako hata hizo comments zao za kijinga huwezi kuziona, hiyo ni dawa tosha. Nafikiri kuna haja ya kuwa identify book 7 wote na kuwaweka kwenye ignore list, huko ndiko wanakostahili kuwa. You can imagine mtu anakuwa tayari kuuza utu wake kwa ajili ya book 7. Kweli njaa kitu kibaya sana.

Tiba
 
Taja wilaya yako tuifananishe na Iramba. Acheni tabia ya kuwachangisha wananchi halafu hakuna mrejesho. Nasikia zaidi ya mill 130 mmekusanya na muigawe kwa wafiwa bila hivyo hatutawaelewa

Wazazi wako wanaangamia kwa njaa wewe kwa sababu njaa yako unashabikia upuuzi. Malipo mnayopewa kuwasaliti Wa Tanzania mwisho wake upo karibu sana.
 
unaushahidi kama CCM wanahusika???
ukiambiwa ukaisaidie police utakua umeonewa?
fikiri kabla ya kuongea bwana mdogo.
Mkuu wasikuangaishe hao kwani CDM ndio wametengeneza mbinu zote haramu. Mi nilijuwa gaidi Lwaks alipotoka nikajua atatutuliza sasa mmeona jamaa alivyohatari?
 
Tukianzia na ulimboka, mwangosi, kibanda, olasiti, had hili bomu, serikali kupitia jesh la polisi, na usalama wa taifa wameshindwa kutuambia wahusika wa matukio yote haya lakini movie ya mwigulu ya kumbambikizia ugaid rwakatare ndo wameona ni kesi ya kukatia rufaa kila uchao

Sawa tu mimi kama mtanzania naumia sana na huu unyanyasaji but am sure one day time will and all those involved will pay for the innocent blood lost
 
Mkuu Erythrocyte, hiyo ndio dawa yao. Just waweke huko ambako hata hizo comments zao za kijinga huwezi kuziona, hiyo ni dawa tosha. Nafikiri kuna haja ya kuwa identify book 7 wote na kuwaweka kwenye ignore list, huko ndiko wanakostahili kuwa. You can imagine mtu anakuwa tayari kuuza utu wake kwa ajili ya book 7. Kweli njaa kitu kibaya sana.

Tiba

Nitakusaidia kwa hilo, mmoja wapo ni huyu mganga njaa, anaitwa Shelui
 
Wazazi wako wanaangamia kwa njaa wewe kwa sababu njaa yako unashabikia upuuzi. Malipo mnayopewa kuwasaliti Wa Tanzania mwisho wake upo karibu sana.

Huwezi fananisha wazazi wangu na wako hata kwa mbali. Wee hujuwi unachokisema kaa kimya nkya wee ni wale wale.Yaani umechanganya jina ili usijulikane Kama we ni mchaga? Huna lolote mchaga wee
 
Haya ni majanga makubwa! Watanzania wenzetu wamekufa kwa mabomu, ila cha ajabu baadhi ya Watanzania wakiwemo viongozi wnatoa kauli za kejeli kiasi hiki. Hii kali. Tz kila kitu siasa hadi misiba siasa.
 
Kwa jinsi Iramba ilivyo nyuma kimaendeleo. Nisingetarajia mtu kama wewe kushabikia upuuzi. Hata hivyo pole kwa sababu ya ufinyu wa fikra.

Hawana Shida hao Mkuu , maisha yakiwabana hawachelewi kuishi kwenye nyumba za ibada ! wala hawana aibu , nadhani umenielewa .
 
Bado naendelea kusisitiza ushabiki wa vyama usiojali uhai wa watu ni upuuzi. Mimi nipo huku Arusha sikufanikiwa kuhudhuria mikutano yote ya kampeni za udiwani, moja ya vitu ambavyo niliviona ni gari ya chadema kuharibiwa na wanachama ccm, laikini kilicho nifurahisha wakati huo ni kuwa viongozi wa chadema walikataa wanachama wao kufanya fujo yeyote. Naomba tuwe makini ndugu zangu Watanzania tunachezea maisha pasipo na sababu za msingi, ukiona mwenzako ana influence sehemu fulani usishindane naye ila shirikiana naye katika kuleta maendeleo. Na huu ndio ushauri wangu hata kwa mkuu wa mkoa wa Arusha acha kushindana na Lema hapa unaonesha kwa jinsi gani bado hujakomaa kama kiongozi, mtumie katika kuleta maendeleo kwa ule ushawishi wake, na msipoangali hii itakuja kuwagharimu ccm. Sure naweka kando ushabiki wa vyama cdm kwa hapa Arusha ina ushawishi mkubwa that's fact. Acheni ushamba
 
Nitakusaidia kwa hilo, mmoja wapo ni huyu mganga njaa, anaitwa Shelui

Nkya hiyo post ya ngapi? Maana Leo mambo mazuri utapost km 179 hivi hukosi buku 8 Leo inakutosha mtoto wa kiume. Nitakuongezea na Mimi tukutane misigiri kesho
 
Tuko pamoja, tushikamane sana wakati huu, kwani kilichofanyika Arusha ni dalili tosha kwamba CCM sasa wamefikia karibu na Mwisho.

unaushahidi kama CCM wanahusika???
ukiambiwa ukaisaidie police utakua umeonewa?
fikiri kabla ya kuongea bwana mdogo.
 
Only serikali ya awamu ya nne mkuu, Kenya wana siasa ngumu na za matukio lakini hawawezi kufanya kanma hili ambalo ccm wamefanya. Kuuwa raia wasiyo na hatia?
Hivi walijuaje kuwa ummati wote ni CHADEMA? Hivi mtu ukihudhulia mkutano wa CCM ama NCCR unakuwa tayari ni member wa hicho chama!? Ama ni lazma uwe mwanachama kuhuhuria mkutano!? Wameuwa raia wema hadi watoto wasio na hatia.
Kwa waroho wa madaraka kama akina Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba kwao kuua watu kadhaa bila kujali ni wa chama gani, kwao siyo issue, wanachojali ni kuendelea kutawala tu. Hawa jamaa ni blood suckers; ni nyoka, hawana hata tone la ubinadamu. Kwao chama chao ni mhimu zaidi kuliko maisha ya watanzania.

Hii awamu ina Rais mwenye uwezo mdogo zaidi kiuongozi kuliko awamu nyingine yeyote. Ndiye huyu ambaye anawaruhusu akina Mwigulu na Nape wafanye wanavyoweza kukisaidia chama bila kujali consequences zake. Hajali kama nchi inaweza kuingia kwenye machafuko, yupo tayari kutumia hata siasa za udini, ukabila na ukanda, ilimradi tu ashinde. Watanzania tuna bahati mbaya sana kuwa na Rais kama Kikwete.
 
Last edited by a moderator:
Bado naendelea kusisitiza ushabiki wa vyama usiojali uhai wa watu ni upuuzi. Mimi nipo huku Arusha sikufanikiwa kuhudhuria mikutano yote ya kampeni za udiwani, moja ya vitu ambavyo niliviona ni gari ya chadema kuharibiwa na wanachama ccm, laikini kilicho nifurahisha wakati huo ni kuwa viongozi wa chadema walikataa wanachama wao kufanya fujo yeyote. Naomba tuwe makini ndugu zangu Watanzania tunachezea maisha pasipo na sababu za msingi, ukiona mwenzako ana influence sehemu fulani usishindane naye ila shirikiana naye katika kuleta maendeleo. Na huu ndio ushauri wangu hata kwa mkuu wa mkoa wa Arusha acha kushindana na Lema hapa unaonesha kwa jinsi gani bado hujakomaa kama kiongozi, mtumie katika kuleta maendeleo kwa ule ushawishi wake, na msipoangali hii itakuja kuwagharimu ccm. Sure naweka kando ushabiki wa vyama cdm kwa hapa Arusha ina ushawishi mkubwa that's fact. Acheni ushamba
Tunajua wameuharibu mji Mzuri wa AR pia wamefanikiwa kuufanya mji wa AR kuwa wa kigaidi na impact yake mtakuja kuiona yangu macho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom