Jamani tuweni waungwana, hivi timu yetu ni mbovu kiasi hicho? acheni mambo yenu bana ya kuona wachezaji wazuri wako kwenu, na mngekuwa na timu yenye vipaji vingi na bora kama Azam sijui ingekuwaje.
Bas tuseme leo Polisi mpira umewakataa mana'ke Jamaa yangu yuko uwanjani anasema hajawahi kuiona Polisi ikicheza mpira wa hovyo kama leo,wanafanya makosa ya kijinga sn
Updates zitakuwepo kutoka kote kote Wakuu. Azam FC wameonesha uanamichezo wa hali ya juu, sina sababu ya kuizomea Azam FC kwa leo. Kila la heri Azam FC.
Kwa upande wa pili, mashabiki ya mikia yameshindwa kabisa kubadilika. Naitakia Simba kila la shari katika mechi yao ya leo na Polisi Morogoro.
Jamani tuweni waungwana, hivi timu yetu ni mbovu kiasi hicho? acheni mambo yenu bana ya kuona wachezaji wazuri wako kwenu, na mngekuwa na timu yenye vipaji vingi na bora kama Azam sijui ingekuwaje.
Mkuu utasubiri hadi taarifa ya habari itakukutia hapo hapoMara nyingi timu huchomoa kipindi cha pili. ...
Kila la kheri Polisi Moro, piga mikia hao washuke daraja.
Mara nyingi timu huchomoa kipindi cha pili. Ndio maana mikia wapo kimya hadi kipenga cha mwisho ndio tutawaona humu na kelele zao kama watakuwa wameshinda.
Bas tuseme leo Polisi mpira umewakataa mana'ke Jamaa yangu yuko uwanjani anasema hajawahi kuiona Polisi ikicheza mpira wa hovyo kama leo,wanafanya makosa ya kijinga sn
Masuke, are you serious?
.....usitoe updates kwa hasira, uja-Lazimishwa.Polisi 2 simba 1hutaki acha
Full time: Polisi 0-2 Simba
Hii ndio timu iliyoitoa kamasi yanga mbona nyepesi?
Simba hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeee eeee .. [MENTION]Makoye Matale [/MENTION]co mpo?