Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Ni ukweli usiopingika kwamba kwa yeyote ambae yuko globalised ,the new stori yenye mashiko ni ya chibu kunyakua tuzo ya #New Live Act Jana ucku,Hii inatokana na kuwepo kwa aina Fulani ivi ya fans damdam milele kutoka kas na kus,na Hii inazihirishwa kuwa diamond,anafuns ambao wanawithstand team dhaifu zilizoagainst Dangote..He's truly blessed..?!
 


I get where you're coming from Chief. By management ya kimataifa sijamaanisha wazungu au watu kutoka nje, bali watu wenye ujuzi wa kimataifa watakaomsimamia yeye kwa ujumla, na sio tu muziki wake, kwa sababu kashakuwa brand sasa, kila move anayofanya katika maisha yake kiujumla ina madhara(mazuri au mabaya) kwake na kwa taifa. He needs somebody to monitor and guide him.

Jamaa angekuwa na management inayojielewa, issue kama anayoilalamikia Jokate isingekuwepo kabisa, ni lose-lose situation kwake. Huu haukuwa muda wa kuwatambishia wabaya wake, bali kuwavuta upande wake cuz kazi ndio kwanza inaanza. Nawajua watu wa maana sana ambao hawana habari kabisa na huo muziki ila walipiga kura kiuzalendo cuz ushindi ni wa taifa, m'dingi wangu mmoja wapo, sasa akija kusikia jamaa analeta pozi za ajabu baada ya ushindi, wala hatajisumbua next time.

Ukisema hatuhitaji kufahamika au kukubalika nje ya bara la Africa nakuwa sikusomi mtu mzima. Tulitoka Channel O, tumefika MAMA's, sasa ni kwenda Bet na kubeba pia, tukitoka hapo twende mpaka Grammy's. Kama Nigerians wanapiga kazi na kina Drake, kwanini sisi tusiwe na verse ya J. Cole kwenye ngoma yetu, or even better, let's have Justin Timberlake kabisa, why not?! Tuanze kupiga shows za maana huko nje. Tukiridhika hapa, ndio yatatokea yale tuliyofanya mwanzo kwa kujiachia kisa Kellz anatukubali.
 
Acha kukurupuka wewe Tupe chanzo cha habar na picha za hao waganga mbona hautaki kumkubali diamond unaanza kuzusha uongo et waganga south Africa. Nenda Kajipange acha ushamba .diamond kashinda kwa uwezo wa mungu na bado mbona huu ni mwanzo tu. Kama hautaki kale malimao
 
Haya sasa kifesi nae katoa ya moyoni teheeeeView attachment 269462View attachment 269463

Huyu nayeee! Hivi ni kazi ngumu gani anayoifanya?

Diamond na dancers wake ndio wanaofanya kazi ngumu na nawapa pongezi zangu za dhati bila kuisahau management yako nayo inastahili pongezi kwa kazi wanayoifanya.

Mimi naelewa management ni nini si kazi rahisi kama wengi wanavyodhani au kufikiri.

Idd mubarak to all celebs members.
 

Point yako ya msingi ni ipi kaka! Kwani diamond kamuua nani? Unazijua nyodo za davido? Za nick minaj je?
Ukiamua ku support mziki wake do it hutaki pita kimya kimya!
Ukiaccept a fact that kila mtu ana moyo wa Nyama utaacha kulia lia.
Kama tatizo ni nyodo, tafuta msanii asiye na nyodo umsupport afike level za international! Kwani nini buanaa si nini tu!
 
halfu unajua hiyo post yake ya pili ya kwamba tunadhalilishwa mbele ya wageni niliitoa mimi humu ndani?kifesi ameiba maneno yangu mengi na kuyaedit kidogo tu

In short leo team #WCB leo tuna korasi moja inayofanana, hata hayo maneno ya "alete unafiki halafu tumchekee" hata mi niliyaandika humu😂😂😂
 

Hata mi huwa siwaelewi.Nyodo anazo Birdman aliyenunua choo cha dhahabu.
 
In short leo team #WCB leo tuna korasi moja inayofanana, hata hayo maneno ya "alete unafiki halafu tumchekee" hata mi niliyaandika humu😂😂😂

Umeona eenh!,poa bwana!screpa kidoti anajifariji kwa kutundika mipicha kila dakika ili kuua soo!ajhahahahahaaa macho huko yaliko yamemvimba kwa kulia!!chezea vichambo wewe
 


Hahaha, oh boy!

Haya mama nimenyoosha mikono, yaishe. Acha nipite zangu hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…