BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
About time Diamond akabidhiwe kwa management ya kimataifa au yenye upeo huo itakayompeleka mbele zaidi, kwasababu hao jamaa alionao ni wazi uwezo wao umefika mwisho, na wamejitahidi sana, so big-up kwao.
Diamond ni brand sasa, na ni Icon ya taifa, but he still conducts himself like a hoodrat he is, cuz he's surrounded by the likes. Jamaa anatakiwa kuwa na PR team itakayo-monitor chochote anachosema popote, kwa maslahi yake na ya taifa kwa ujumla. Cuz let's face it, you can change a wardrobe but not the man under the clothes. Hizi drama na vitu zake za zamani sio level yake kwa sasa, na zinamshushia heshima.
Jana Nigerians wameonyesha jinsi walivyo wamoja na wakomavu, D'Banj licha ya tofauti walizokuwa nazo na Don Jazzy, aliutambua mchango wake bado. Hawa jamaa wanaelekea sayari nyingine kimuziki kwa sababu wana umoja. Wasanii wakishaonyesha umoja, hata mashabiki wao wataungana pia. Tusipochukua hatua za haraka, muda si mrefu tutabaki kuwa watazamaji tu, kama kwenye michezo.
Teh Teh uko tayari kupiga nae picha?
laivu ya nini hiyo? he is a best looser
Hongera zake Diamond na familia yake. Na sisi mmoja mmoja tuongeze bidii kufikia mafanikio yetu binafsi. Ni hayo tu.
Kama Dibanj na Don Jazz pia hata Diamond alionesha umoja na ushirikiano alipopatana na Producer wake wa kwanza Bob Junior pia na Kusolve tatzo lake na Manek. Pia msanii akienda international sana unavyofikiria ww kama Dbanj alivyopata management ya Kanye West GoodMusic ilimpa jina kwa mda mfupi na ikamtupa wakat alishaanza kuConcentrate na Soko la nje. Thn kilichofata mziki wake ulishuka coz alikua anatoa nyimbo nigeria wanasema hz not Nigeria now wanigeria walimdiss sana Dbanj thn akarud nigeria kwa DonJazz nw thy r cool. Haina haja ya msanii wa Africa kuhitaj sana kujulikana American au Europe na wazungu cc tu inatosha labda wapende hvo hvo no need of international management wala nini. Kuhusu kusema cdhani kama Mondi ashawah kusema kitu cha kuaibisha Taifa zaid ya kulipaisha tu.
hongera zenye ujazo wa kutosha ziende kwake #chibuWasalaam wana jamvi! Bila shaka sikuu imekuwa njema kwa kila mtu!Leo kuna tukio kubwa kwenye tasnia ya burudani Africa nalo ni tunzo za MTV zitakazo fanyika Durban leo!Wanamuziki wa tanzania wanatarajiwa kung'ara kwa kurudi na tunzo nyumbani kwa huu ni mwaka wetu na ni mwaka wa mafanikio zaidi!Watanzania wanao wania tunzo hizo ni Diamond platinumz ambaye yuko kwenye vipengele vitatu;:Msanii bora wa kiume:Mtumbuizaji bora:Wimbo bora wa kushirikiana!- Vannesa Mdee naye anawania tunzo ya msanii bora wa kike!Ni ukweli ulio wazi Diamond anatarajiwa kunyakua na atanyakua tunzo zisizo pungu mbili(2), Huku Vannesa akirudi nyumbani na tunzo ya msanii bora wa kike!Pamoja na utoaji wa tunzo tunatarajia kushuhudia show ya Diamond, Davido na wengine wengi!Basi msikae mbali na TV zenu (Dstv) na pia tutajuzana hapa kila kinachotokea huko!View attachment 269136===Updates - 1Diamond ameshinda tunzo ya Mtumbuizaji bora (Best live Act MTVMAMA 2015) Updates - 2Best group...P. Square (Kundi bora) MTVMAMA Updates - 3Best pop & alternative goes to Jeremyloops! MTVMAMMAUpdates - 4Personality of the year award goes to Trevor Noah (SA) MTVMAMA Updates - 5Evolution award goes to Dbanj (Nigeria) MTVMAMA! Updates - 6Best Female awards goes to Yami Alade! MTVMAMA Updates - 7Best Male award goes to Davido! MTVMAMA\Updates - 8Best Hip Hop awards Cassper Nyavost (SA) MTVMAMA Updates - 9Best New Act award goes to Pantoraking (Nigeria) MTVMAMA!==== Some facts we should not forget;Davido - nominations 4 kapata 1wizkid - nominations 3 hajapataDiamond - nominations 3 kapata 1AKA - nominations 3 kapata 1East Africa wasanii 5 aliyepata ushindi 1 Diamond Hakika huyu ni muwakilishi wetu mzuri sana...Hail to the king Diamond! Hongera sana Diamond Platinumz!
Kwani huyo kidoti analia lia nini? Akae tu ajue ye ni mnafiki nambari moja, mkipewa za uso mnajifanya wanyongeeee Pyeeeeeeeeee, kujifanya victim tu msyuuuuuuuuu. Kwanza uache kumtukana chibu kwa ile account yako fekero ya insta, uzuri Ushemeji huwa hauishi ulitegemea kama huyo rafiki ako mloshirikiana nae kufungua account fekero hatatufikishia? ???
Eti umeaibishwa! Nani kakuaibisha kama sio wewe mwenyewe?
Mchawi ni mchawi tu either anakuja kwa sura yake or sura ya paka! Unajifanya ume move on wakati kila siku unamdhalilisha Diamond na Zari kwa account yako fake. Acha unafiki Period!
About time Diamond akabidhiwe kwa management ya kimataifa au yenye upeo huo itakayompeleka mbele zaidi, kwasababu hao jamaa alionao ni wazi uwezo wao umefika mwisho, na wamejitahidi sana, so big-up kwao.
Diamond ni brand sasa, na ni Icon ya taifa, but he still conducts himself like a hoodrat he is, cuz he's surrounded by the likes. Jamaa anatakiwa kuwa na PR team itakayo-monitor chochote anachosema popote, kwa maslahi yake na ya taifa kwa ujumla. Cuz let's face it, you can change a wardrobe but not the man under the clothes. Hizi drama na vitu zake za zamani sio level yake kwa sasa, na zinamshushia heshima.
Jana Nigerians wameonyesha jinsi walivyo wamoja na wakomavu, D'Banj licha ya tofauti walizokuwa nazo na Don Jazzy, aliutambua mchango wake bado. Hawa jamaa wanaelekea sayari nyingine kimuziki kwa sababu wana umoja. Wasanii wakishaonyesha umoja, hata mashabiki wao wataungana pia. Tusipochukua hatua za haraka, muda si mrefu tutabaki kuwa watazamaji tu, kama kwenye michezo.
Sio vizuri hivo?
Kah
tawilekuna habari hii imezagaa kwamba walikamatwa na polisi wa afrika kusini kwa kubeba vitu walivyovitilia mashaka.walihojiwa na baadae kuachiwa,je hili ni kweli? Kama ni kweli tunaelekea kubaya kama taifa
About time Diamond akabidhiwe kwa management ya kimataifa au yenye upeo huo itakayompeleka mbele zaidi, kwasababu hao jamaa alionao ni wazi uwezo wao umefika mwisho, na wamejitahidi sana, so big-up kwao.
Diamond ni brand sasa, na ni Icon ya taifa, but he still conducts himself like a hoodrat he is, cuz he's surrounded by the likes. Jamaa anatakiwa kuwa na PR team itakayo-monitor chochote anachosema popote, kwa maslahi yake na ya taifa kwa ujumla. Cuz let's face it, you can change a wardrobe but not the man under the clothes. Hizi drama na vitu zake za zamani sio level yake kwa sasa, na zinamshushia heshima.
Jana Nigerians wameonyesha jinsi walivyo wamoja na wakomavu, D'Banj licha ya tofauti walizokuwa nazo na Don Jazzy, aliutambua mchango wake bado. Hawa jamaa wanaelekea sayari nyingine kimuziki kwa sababu wana umoja. Wasanii wakishaonyesha umoja, hata mashabiki wao wataungana pia. Tusipochukua hatua za haraka, muda si mrefu tutabaki kuwa watazamaji tu, kama kwenye michezo.
kwanza makosa akiongea diamond tu?!mbona wao wanaongea shit na hawasemwi?!walichomfanyia diamond kilikua kizuri?mtu anakudhalilisha mbele ya wageni walitegemea akae kimya tu kwa roho gani ya tofauti aliyonayo!?
wacha awape dawa
😀naomba kujua..eti ile kampeni ya vote for davido inaendelea???
Hahahaaa kwani uongoooooooo! Mwambie afunge ile fekero yake au niitaje?
All nonsense si tunaimani na juhudi zetu ktk kupiga kura undo zimempatia hiyo tuzo kjna wetu,xo chekecha thread ako afu utengue kauli..?!nimehakikishiwa na mtanzania aliyekuwa hotelini hapo,walifatwa na gari la polisi wakakaa masaa baadae wakaachiwa
Hahahaaa mbavu zangu mieeeeeeeeee😂😂😂😂😂 na mafuta ya cherehani kazi yale nini?
Teh Teh uko tayari kupiga nae picha?