Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Uso hiana fedhuri uongo..umekujaaa..
Kujifanya mashuhuri...kumbe chaka umechakaa!!
Aga..mwenzako mimi turufu si garasaaa..
Mwenye nyota ya umaaarufu si kupapasaa....
Tena tuzo ni nguvu za karataaa.........

Nasema na weweeeeeeeee hater!!!are u mad???Chinekeeeeee
 

😀😀😀 mie npo kusikiliza hapa #nasema #nawe
 

Attachments

  • 1437302902510.jpg
    30.1 KB · Views: 200
Uuwiiii..., nafaa,mapigo ya moyo yamepanda. Aga, hapo ndo uwa ananimaliza
 
Hahahaaaaaa eti be like pyeeeeeeeeeeeeeeeeee.....uuuuwiiiii wanafiki wanalooo

wanalo tena wanalo sanaaaaaaa!!kutushusha sisi kazi ipooooooo....wape salam zao platnum ndio kiboko yaoo.
Nakumbuka mashairi ya TMK enzi hizoooooo
 
Uuwiiii..., nafaa,mapigo ya moyo yamepanda. Aga, hapo ndo uwa ananimaliza

ahahahahaa anaimba nyimbo utadhani alijua kitakachotokea!!yaani sasa hivi haters kila watakapo sikia mziki na nyimbo ya diamond basi moyo unawalipuka tu lipuuuuu
 
Teh teh teh kuna mmoja jana alikuwa anaponda sana hapa..

Leo naona kageuka mfuasi ghafla, eti hongera diamond teh teh

Coward.. Bandwagon..
 

Na utanimention sana mwaka huu na usengery wako......shenzyyyyyyy!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha.. acha kulia nyau hapa, kristapen ishakuingia we sikilizia tu maumivu.. GET WELL SOON😂😂
 

Attachments

  • 1437305621172.jpg
    42.2 KB · Views: 226
  • 1437305647091.jpg
    80 KB · Views: 225
  • 1437305671662.jpg
    80 KB · Views: 217
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…