pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,561
- 14,627
hata kama utamshindanishaje mess na ngasa labda dai ila vanessa no no wait n seeUsiseme hivo... kura tumepiga na majaji wataamua kuwa mvumilivu
hata kama utamshindanishaje mess na ngasa labda dai ila vanessa no no wait n seeUsiseme hivo... kura tumepiga na majaji wataamua kuwa mvumilivu
Jamani kwani aliua? Mbona nyuma ya nondo muda mrefu hivi! #Bringbackourmzurimie Cc Invisible
Mkuu ni super sport gani wataonyesha?
Alifanyeje huyu.??
kwa vigezo vyote ulivyotaja kuna msanii anayemfikia bella christian Tz kama mauno anaya kuimba usiseme we unaongea ki ushabiki co uhalisiaSpeaking of Alikiba hakustahili ile tunzo hata yeye ana fahamu hilo!
Utumbuizaji ni zaidi ya kuimba live...utumbuizaji una ambatana na kukonga nyoyo za mashabiki uwapo stagini..! Utumbuizaji una ambatana na kuwafanya mashabiki wacheze na wewe .....!
mi nasema nafasi ya vanesa ilikuwa awe linah sanga sema jamaa usipofanya nao collabo plus kujuana utasubiri sana ole themba ni balaa ileEti huyu naye Vanessa anataka apewe tuzo, heri hata snura ndo angeweza kupambana na yemi Alade.
hapana namsapot ila hakustaili mi nasema bora lina kuliko huyo miss meru sema ushikaji hadi ufanye collabo au ujuane naokumbe ata Vanessa humsupport nilijua mond peke yake... watz tuna kazi sana
mi nasema nafasi ya vanesa ilikuwa awe linah sanga sema jamaa usipofanya nao collabo plus kujuana utasubiri sana ole themba ni balaa ile
yani kwenye bumbum best collabo ndo waliniacha hoi kwa upande wa vanesa kufanya kazi nao kumemsaidia kuwa nomineted ila dai collabo give him strengthKweli mkuu, sijui wanatumia vigezo gani hawa jamaa.
Eti huyu naye Vanessa anataka apewe tuzo, heri hata snura ndo angeweza kupambana na yemi Alade.
mi nasema nafasi ya vanesa ilikuwa awe linah sanga sema jamaa usipofanya nao collabo plus kujuana utasubiri sana ole themba ni balaa ile