zamu yenu sasa kushangaaa, lakini hamuwezi kutuzidi sisi jamani kitendo cha kiba kupewa best performer of the yearwhile we all know ni diamond tunashangaaaaa mpaka leo, so its your turn kushangaaaaaa, muosha huwoshwa, mliona raha sana kumfitinisha diamond kwenye KTMA eeeeeh!!!! sasa kwenye MTV no fitna its the matter of who deserve it what.
Bwana mmoja wa kuitw Eddo Kumwembe aliwahi sema ktk makala zake za michezo kuwwaSoka zima la Tanzania limezidiw akili na mwanamuziki diamond ambaye anaonekana anajua anachokfnya kuliko mchezo wa soka na watu wake