Nilifikiria fursa hii ya mikutano ilikuwa kuwaeleza wananchi kwa nini wametoka nje ya Bunge, lakini naona wanarudia yaleyale yanayojulikana tayari. Kilitokea nini hasa kikawafanya watoke bungeni? Wanapaswa kueleza ili wananchi wawaelewe, maana mpaka sasa wananchi bado wana imani kuwa wanayoyadai wanaweza kuyapata ndani ya Bunge.

Mimi nimejaribu kuleta tu ambayo wanaelezwa wananchi na nina hakika wanaamini hivyo hasa nilisikiliza maoni yao kwenye vyombo vya habari. Hili kuondoa taswira hii, wapeleke kwa kina basi badala ya kurejelea Yale yanayoeleweka tayari.Tapeli mkubwa! Madai gani watayapata ndani ya bunge ambalo wengi ni CCM na wanabeba upuuzi wa s2 bila aibu. Tunamwambia JK likizo hadi kieleweke.
Nilifikiria fursa hii ya mikutano ilikuwa kuwaeleza wananchi kwa nini wametoka nje ya Bunge, lakini naona wanarudia yaleyale yanayojulikana tayari. Kilitokea nini hasa kikawafanya watoke bungeni? Wanapaswa kueleza ili wananchi wawaelewe, maana mpaka sasa wananchi bado wana imani kuwa wanayoyadai wanaweza kuyapata ndani ya Bunge.
Na ACT kama MWANDIGA!chadema wanatamani Zanzibar.iwe kama marangu au kiborloni
ACT wanataka kuanzisha taifa la waha na wahutu!nia na madhumuni ya ukawa ni
haya:
1.CHADEMA: chadema nia yao
kubwa ya kuwepo kwenye ukawa ni
kuunda taifa la Tanganyika ambalo
litapelekea muungano kuvunjika..
hii ni kwa sababu chadema
imeshindwa kukubalika Zanzibar
kwa hiyo hata muungano hawana
haja nao
2.CUF: Cuf nia yao kubwa ya
kuwepo ukawa ni kuvunja
muungano ambako kutapelekea
kujitenga kwa visiwa vya pemba na
unguja... cuf wanataka kuunda
taifa lao la pemba na hiyo
itafanikiwa iwapo tu muungano
utavunjika
3.NCCR MAGEUZI: Hawa ni
bendera fuata upepo hawana kitu
chochote wanachosimamia kwenye
ukawa.. ki ufupi hawajielewi
Mama yako alikuwa mkewe?wazenj wanajaa sana kwenye mikutano kumshangaa mgonjwa wa akili aliemtukana baba wa taifa
Yani UKAWA kinacho takiwa ni kukaza buti hawa jamaa ni wepesi sana
Upande wa visiwani ni wepesi lakini bara ni wazito na kwa sababu bado hawajapat akili za mbayuwayu
ACT wanataka kuanzisha taifa la waha na wahutu!
Tatizo la Maalim Seif haaminiki..........ana double face.......Maalim seif ni kiboko sana hapa ni 3 tu