nosocomial
JF-Expert Member
- Dec 6, 2013
- 404
- 45
mleta mada hajielewi mbona haleti full kinachoendelea.
naomba kirefu cha ukawa
tunataka serikali![]()
tunataka serikali tatu za ukweli.
Chezea ukawa wewe!!!!!!!!!!!!!!!
chadema wanaitamani sana Zanzibar.
Hujasikia Tundulisu ni Ronadho znz. mkiitisha uchaguz leo znz mtalamba o
nia na madhumuni ya ukawa ni
haya:
1.CHADEMA: chadema nia yao
kubwa ya kuwepo kwenye ukawa ni
kuunda taifa la Tanganyika ambalo
litapelekea muungano kuvunjika..
hii ni kwa sababu chadema
imeshindwa kukubalika Zanzibar
kwa hiyo hata muungano hawana
haja nao
2.CUF: Cuf nia yao kubwa ya
kuwepo ukawa ni kuvunja
muungano ambako kutapelekea
kujitenga kwa visiwa vya pemba na
unguja... cuf wanataka kuunda
taifa lao la pemba na hiyo
itafanikiwa iwapo tu muungano
utavunjika
3.NCCR MAGEUZI: Hawa ni
bendera fuata upepo hawana kitu
chochote wanachosimamia kwenye
ukawa.. ki ufupi hawajielewi
chadema wanatamani Zanzibar.iwe kama marangu au kiborloni
wazenj wanajaa sana kwenye mikutano kumshangaa mgonjwa wa akili aliemtukana baba wa taifa