nia na madhumuni ya ukawa ni
haya:
1.CHADEMA: chadema nia yao
kubwa ya kuwepo kwenye ukawa ni
kuunda taifa la Tanganyika ambalo
litapelekea muungano kuvunjika..
hii ni kwa sababu chadema
imeshindwa kukubalika Zanzibar
kwa hiyo hata muungano hawana
haja nao
2.CUF: Cuf nia yao kubwa ya
kuwepo ukawa ni kuvunja
muungano ambako kutapelekea
kujitenga kwa visiwa vya pemba na
unguja... cuf wanataka kuunda
taifa lao la pemba na hiyo
itafanikiwa iwapo tu muungano
utavunjika
3.NCCR MAGEUZI: Hawa ni
bendera fuata upepo hawana kitu
chochote wanachosimamia kwenye
ukawa.. ki ufupi hawajielewi