Live updates mkutano wa ukawa pemba

Live updates mkutano wa ukawa pemba

Mwaka huu CCM lazima suluali na sketi ziwashuke mpaka kwenye magoti maana huu moto wa ukawa unalegeza viono vya MACCM
 
Ukiruka ukuta hujui utaangukia nin,maalim seif mara hv mara vile sina iman nae,CCM siitaki na UKAWA siwaamin,bora panga nimpe kichaa ni mjuae kuliko mgen.
 
waliosema kuwa UKAWA si lolote wala si chochote ndio hao hao leowanataka suluhu
 
Back
Top Bottom