Live updates mkutano wa ukawa pemba

Live updates mkutano wa ukawa pemba

Nilifikiria fursa hii ya mikutano ilikuwa kuwaeleza wananchi kwa nini wametoka nje ya Bunge, lakini naona wanarudia yaleyale yanayojulikana tayari. Kilitokea nini hasa kikawafanya watoke bungeni? Wanapaswa kueleza ili wananchi wawaelewe, maana mpaka sasa wananchi bado wana imani kuwa wanayoyadai wanaweza kuyapata ndani ya Bunge.

Bunge la intrahamwe?
 
Tapeli mkubwa! Madai gani watayapata ndani ya bunge ambalo wengi ni CCM na wanabeba upuuzi wa s2 bila aibu. Tunamwambia JK likizo hadi kieleweke.
 
Tapeli mkubwa! Madai gani watayapata ndani ya bunge ambalo wengi ni CCM na wanabeba upuuzi wa s2 bila aibu. Tunamwambia JK likizo hadi kieleweke.
Mimi nimejaribu kuleta tu ambayo wanaelezwa wananchi na nina hakika wanaamini hivyo hasa nilisikiliza maoni yao kwenye vyombo vya habari. Hili kuondoa taswira hii, wapeleke kwa kina basi badala ya kurejelea Yale yanayoeleweka tayari.
 
Nilifikiria fursa hii ya mikutano ilikuwa kuwaeleza wananchi kwa nini wametoka nje ya Bunge, lakini naona wanarudia yaleyale yanayojulikana tayari. Kilitokea nini hasa kikawafanya watoke bungeni? Wanapaswa kueleza ili wananchi wawaelewe, maana mpaka sasa wananchi bado wana imani kuwa wanayoyadai wanaweza kuyapata ndani ya Bunge.

walishasema ikiwemo kutokuheshimiwa kwa maonia ya wananch
 
Raisi kesha mtunuku Jaji nishani ya muungano hivyo serikali tatuhazi hepukiki
 
nia na madhumuni ya ukawa ni
haya:
1.CHADEMA: chadema nia yao
kubwa ya kuwepo kwenye ukawa ni
kuunda taifa la Tanganyika ambalo
litapelekea muungano kuvunjika..
hii ni kwa sababu chadema
imeshindwa kukubalika Zanzibar
kwa hiyo hata muungano hawana
haja nao
2.CUF: Cuf nia yao kubwa ya
kuwepo ukawa ni kuvunja
muungano ambako kutapelekea
kujitenga kwa visiwa vya pemba na
unguja... cuf wanataka kuunda
taifa lao la pemba na hiyo
itafanikiwa iwapo tu muungano
utavunjika
3.NCCR MAGEUZI: Hawa ni
bendera fuata upepo hawana kitu
chochote wanachosimamia kwenye
ukawa.. ki ufupi hawajielewi
ACT wanataka kuanzisha taifa la waha na wahutu!
 
Ha wanaruka ruka tu huko. Kwa CCM hawafui daf labda sii CCM wazee wa fitna..CCM wanambinu nyingi sana si ajab badae ukaona UKAWA wanafarakana.mimi yangu macho tutaona mwisho wake tuombe uzima tuu.. maana siku hazigandi
 
Hhahahahahaaaa

Tuendelee kuwachochea wajitenge....
 
Daaa lissu kaua

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom