Live updates mkutano wa ukawa pemba


kwa hiyo umecheza ramli ikakutabiria ivo? acheni kujifanya nostradamus
 
Natamani ningekuwa huko ila basi naamini mlioko huko mtatupatia kilakitu,Mungu bariki kazi zawapigania uhuru mpya Ukawaaaa.Wote tuseme amina!
 
Ukabila na udini? You are fighting a loosing battle mwana ACT/CCM.

ACT wana bahati mbaya kweli. Wakidhani wataiua Chadema, kifo kinawakabili wao. Ili wasife, watakimbilia kujiunga na Baba (ccm) ambaye naye anakufa! Watazikwa kaburi moja.
 
ACT wana bahati mbaya kweli. Wakidhani wataiua Chadema, kifo kinawakabili wao. Ili wasife, watakimbilia kujiunga na Baba (ccm) ambaye naye anakufa! Watazikwa kaburi moja.

umepost pumba tu. bora ungepita kimya kimya
 
UKAWA watamaliza Vikwazo vya nduli CCM (Mkoloni wa Kijani) zidi ya democrasia makini.
 
Jusa Kamaliza kabisa,.. Kawalaaani na kuwataja maadui wa muungano na mamlaka kamili za zanzibar
 
Nilifikiria fursa hii ya mikutano ilikuwa kuwaeleza wananchi kwa nini wametoka nje ya Bunge, lakini naona wanarudia yaleyale yanayojulikana tayari. Kilitokea nini hasa kikawafanya watoke bungeni? Wanapaswa kueleza ili wananchi wawaelewe, maana mpaka sasa wananchi bado wana imani kuwa wanayoyadai wanaweza kuyapata ndani ya Bunge.
 
wapi stiven wasira,William lukuvi je ?wao wengi bungeni UKAWA wengi nje ya bunge,(viva warioba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…