unaweza kuangalia hao waliosimama hapo na ukajua ni kundi gani then tupa kuleWana Moro, baada ya somo zito la msingi wa amani ya nchi ni haki na matumaini ya wananchi...kutoka kwa Dkt. Slaa.
Sasa ni wakati wa maswali...
Wana Moro, baada ya somo zito la msingi wa amani ya nchi ni haki na matumaini ya wananchi...kutoka kwa Dkt. Slaa.
Sasa ni wakati wa maswali...
baada ya kukamilika kwa mahafali ya chaso ambapo rai.s dr. Slaa alitunuku nishani na vyeti kwa wahitimu 183 wa wanachama wa chadema, kwa takribani saa moja sasa barabara za mitaa ya manispaa ya morogoro zimefungwa kupisha msafara wa magari na maandamano ya kuelekea vilipo viwanja vya mkutano. Viwanja vya sabasaba vimejaa tangu saa saba. Nitaleta picha
wanatumikia chama chao na wanauhakika wakitoka hapo cha mfukoni uhakika na home wanafika salama nani anataka akapoteze viungo vyake au uhai wake bila chochote mfukoni.Hawa watoto wnatumika kweli maskini!
Wananchi wanacheka hapa kua muda Mh Rais Kikwete yupo Japani ameenda kuzindua Pre School(Chekechea) yupo huko toka tarehe 28
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
Huu uzi una wageni wengi kuliko wenyeji.Kwanini hawa wageni hawajisajili au ndo kina Salva?
There are currently 244 users browsing this thread. (37 members and 207 guests)
Nothing at all.Hope, joy and victory
Thanks Makene
dr anamalizia wakuu hv
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.