mwongo ww.msafara ulikuwa wa kawaida na pikipiki za kawaida kwani kila mwendesha pikipiki alilipwa 8,000.slaa aliingia mjini mida ya saa 8 na ushee hivi akaelekea savoy .mie nipo hapa kwenye viwanja vya k/ndege panapofanyika mkutano.kila mtu hapa mjini anaendelea na shughuli zake kama kawaida.utadhani hakuna mkutano.tunamshukuru mungu kuwa chadema wameshika adabu.ila matusi hapa mkutanoni kama kawaida.vibaka wamejaa usiseme.wenyewe (vibaka)wanasubiri litokee jambo wafanye kazi yao.ila sasa ni saa 12 na dakika 5 inaelekea wamepiga chini.babu hana jipya.yaleyale.:embarassed2::embarassed2:
Dogo unapokuwa na inda na hasira tafadhari usiposti kitu chochote kwa maana naona unajichanganya sana , hebu ona unasema ulikuwa kiwanja cha ndege tangu saa nane na wakati huo unasema kila mtu anaendelea na shughulizake WEWE HUNA SHUGHULI ? umeonaje hayo wakati ukiwa k/cha ndege AMBAKO NI PEMBENI PA MJI. Pia je hizo sh elfu nane ulizionaje au wewe ndo ulikuwa mfadhiri? au unachukulia dau la CCM ndo la kila chama ? Dogo nenda taratibu utakufa na presha kama mwenzio alivyokufa leo muda si mrefu.
Sina haja ya kupigizana kelele na wewe Gamba mkubwa na kama hautaki unaacha!!!!hahahahahah,hii ndo nyomi?kwa propaganda aaaaah mnawezalakini maumivu yenu mwakani
ni kweli huwezi kuwapenda watanzania wenzako kwakuwa ww ni mkimbizi unayefisadi nchi yetu.Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali Tanzania iwe na Rais aliyechoka namna hii,
View attachment 95924
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali Tanzania iwe na Rais aliyechoka namna hii,
View attachment 95924
Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali Tanzania iwe na Rais aliyechoka namna hii,
View attachment 95924
Chama cha domo la ghasia,kusaga na kukoboa (Blender)
roho inauma eeh???Dr w ukweli kwa kuapika pambaja wanaume wenzako tunaomba udhamini uhai wa wananchi wa morogoro usijewatoa uhai kama kawaida yenu wazee wa kafara.
Huyu kachoka JK dhaifu everywhere
hahahahahah tehe tehe tehetehhhhhhhhhhh...hahahhhh, mkuu ngoja niagize kinana baridiiiiiiiiiiiiiiiii, freedom is coming now
Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini