Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Mbowe akiwa kwao anahubiri elimu na maendeleo kwa vijana wake hapa anawafanya wangoni wapumbavu anawaamasisha washiriki vurugu ili wapate ulemavu kama sio kifo

Kwa hiyo mnataka mkawaPINDE hao wangoni?
 
Chadema hawaheshimu hata mwezi mtukufu

Ni kweli mkuu Mingoi si CDM tu mimi pia niliishanga serikali na tume ya uchaguzi kupanga tarehe ya uchaguzi wa madiwani Arusha katika Ramadhani. Nadhani ni kweli hii serikali ni ya mfumo ule......................!.
 
Last edited by a moderator:

Waache waendeleze ujinga wao. Ubaguzi hawataacha lakini ndio kaburi lao.
 

Kama si alama ya uislam ni nini? Tuambie waislam ni % ngapi ya wakazi wa nchi hizo? Tulitarajia vita na vurugu visimame ktk nchi hizo kwenye mwezi huu mtukufu!
CC: njiwa, Ritz
 
Mkutano umemalizika salama,Pinda naye yuko Songea.

Good news. Kazi nzuri redbrigade chin ya mlinzi mkuu Jehova!

Naona kuna wengine walikuwa wakichungulia jf kujua kama ni umati au wachache ndo wamefika mkutanoni ku- justify vitisho na mbinu zao ovu. Shame on them! cdm will never perish!
 
Sijakuelewa mkuu unachomaanisha

Hujaelewa nini hapo Mkuu, jamaa anaendeleza sera za Chama Cha Madili za kuwagawanya Watanzania Kidini, Kikabila na Kikanda ili amngalau wamalizie muda ukliobaki wakiwa madarakani.
 
Mabadiliko ya utawala mwaka 2015 ni muhimu sana! Ccm imetosha muda wao umeisha
 
Mabadiliko ya utawala mwaka 2015 ni muhimu sana! Ccm imetosha muda wao umeisha
Andaeni na makaburi kabisa lazima mfe kwa kihoro mtashangaa mweleka mtakao kula hamtaamini watanzani siyo wajinga wachague chama cha vurugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…