Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Jiulize hiyo Chadema inapendwa sana na kabila gani hapa nchini. Halafu kama niambie CCM nayo inapendwa na kundi moja au na nchi nzima. Ukipata jibu kaa nalo mwenyewe.
ccm inapendwa na mafisadi zaidi, chadema inapendwa zaidi na wanyonge! Hata mseme vip, ccm inaelekea kuchokwa, sisi kusini tunajipanga kuachana nayo, tuone mtapata hizo kura mnazoita sijui za kishindo!
 
Hivi wewe Mingoi umefunga kweli au unatuzuga tu? haya maneno ya uchochezi na chuki za kikabila hayafai kabisa kuandikwa na muislamu tena aliye katika funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Mkuu Mwita Maranya,tusiwe wanafiki katika hili hivi umeshawahi kumsikia mwenyekiti wenu akiwaamasisha watu wake kuandamana au kuvunja sheria za nchi? Tena ndio kwanza anaisifia serikali na rais zinapojenga barabara ili kuishawishi na kuongeza kasi ya maendeleo.

 
huo ni uharo!
 
Last edited by a moderator:
"Kama m2 anakupiga kwa kukuonea, anakunyima haki kwa uonezi, suluhisho si vurugu ni akili" Malcom X; Kauli ya MSIGWA MB.
 
Mkuu bila shaka shule yako haija kusaidia kabisa! Mpaka leo hujui tofauti ya kuwa msemaji na kuripoti kinacho semwa?! Nani amenajisi elimu yetu mpaka mnashindwa kutofautisha vitu vidogo namna hii?!

mkuu mtoi huyo mpotezee anakutoa kwenye issue za msingi we endelea kutiririka kazi unayofanya ni kubwa na yenye tija usipoteze muda kujibishana na ritz.tupe updates za mkutano kamanda
 
mkuu wangu mohamed mtoi wapi picha hawa magamba wapate kusadiki
 
Last edited by a moderator:
Mkuu bila shaka shule yako haija kusaidia kabisa! Mpaka leo hujui tofauti ya kuwa msemaji na kuripoti kinacho semwa?! Nani amenajisi elimu yetu mpaka mnashindwa kutofautisha vitu vidogo namna hii?!

Mohamedi Mtoi, wewe pambana nao hawa magamba, siku hizi sisi hatubishani nao..... watakuumiza kichwa hawa
 
mkuu wangu mohamed mtoi wapi picha hawa magamba wapate kusadiki
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…