blue arrow
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 271
- 17
mleta mada ujiandae kuanza kuupdate..
Karibu sana Kamanda wetu!
ni muendelelezo wa kuigawa nchi katika udini na ukanda .... lengo kubwa ni kuona kanda ya kaskazini inajitenga hizi kanda nyingine na porojo tu
Nakwaminia kamanda tutapata updates live kwa wale walioko kwenye shughuli zingine au mbali ya tukio!! M4C Mbele kwa mbele hakuna kulala!!!Niko kwenye uwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro ambapo kunafanyika mkutano wa uziduzi wa Kanda ya Kaskazini inajumuisha mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga, utahudhuriwa na wabunge wote wa CHADEMA kutoka mikoa ya Kanda ya Kaskazini na kuhutubiwa na Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe.
kwa sasa watu wanazidi kumiminika, tuungane kuwa habarisha wale wote ambao hawajafanikiwa kufika kwenye uwanja huu kwa njia moja ama nyingi...
picha zina kuja
Kila la heri huko Kamanda, wananchi waelezwe ukweli juu ya dakika tano zilizobaki na alama za nyakati alizokuwa akiziongelea Kamanda Lissu Kibaha Mjini
Pamoja sana mkuu..nami nafuatilia ma update...kesho kutwa nasisi hapa Mwanza ni kivumbi
ni muendelelezo wa kuigawa nchi katika udini na ukanda .... lengo kubwa ni kuona kanda ya kaskazini inajitenga hizi kanda nyingine na porojo tu