LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Dunia ina mambo jamani. Hammwagi sera zenu mpk watu waimbiwe?? Walikuja disco au kusikiliza yaleyale mnayoyaongea kila siku kwa wananchi??

Hela ya kumlipa diamond si mngemlipa mwalimu hata mmoja malimbikizo yake??

Ooh!!! poor ccm
 
Ushuhuda wa mafuriko ya morogoro haya hapa!

Yaani siku zote 8 za kuzunguka Morogoro, pamoja na kuwepo wasanii Diamond na wengineo, huu ndio ushahidi wa kwamba nyomi ni kubwa? Tena kwa kuahidiwa nguo za kijani! Umesikia ya Mwanza jinsi inavyo tikisika? Maana ni nyomo la uhakika bila hata ya ahadi ya nguo, usafiri, n.k.
 
Kinana anasema kunaviongozi wa cdm wamekaa madarakani mda mrefu wakihojiwa na wenzao wanadai anayehoji katumwa na ccm.
 
Naona chadema inawachanganya sana Ccm, kinana analia na chadema tu hana jingine, nimemshusha sana sikumtegemea namna hii, naanza kuhisi tabia za mwigulu, lusinde na nape nadhani ni yeye anaprogram, amehusika k
tunaweza sema alikua anacrush hoja za chadema...hizo ndizo siasa,hata chadema wanaisema sana ccm na serikali yake.
 
Dk slaa anasema kuchagua ccm ni kujitakia maafa anamaana gani.
 

Wenye hizo investments huwa hawajitangazi, huo ni ulimbukeni: Anyway swali halikuhusu, kurukia lisilokuhusu tu inaonyesha kama nawe una investments basi ni YOUR DREAMS. I.D.I*T
Investments utakazokuwa unazizungumzia itakuwa ni KULIPWA KWA KILA POST MNAYOTUPIA HUMU JAMVINI.
SHUT UP AND MIND YOUR STPD BNESS
 
CCM inakwenda nyumba hadi nyumba, mtaa hadi mtaa, kijiji hadi kijiji, kata, tarafa, wilaya na tunamalizia mkoani.

Katibu mkuu alikuwa anakagua uhai wa chama. Usiweweseke. Hii ni CCM.

98% ya viongozi wa opposition wametoka CCM. Toka lini mtoto akawa mkubwa kwa wazazi wake.
 
Tunaambiwa GREAT MINDS DISCUSS ISSUES.

Wakuu, naombeni anayeweza kuweka kwa muhtasari ISSUES zilizoongelewa.
 
Kinana anasema kunaviongozi wa cdm wamekaa madarakani mda mrefu wakihojiwa na wenzao wanadai anayehoji katumwa na ccm.
Nadhani hao viongozi na akina John Cheyo, Augustino Lyatonga Mrema, Seif Shariff Hamad na Lipumba.

Hao ndio wamekuwa viongozi wa vyama vyao kwa muda mrefu zaidi.
 
Dk slaa anasema kuchagua ccm ni kujitakia maafa anamaana gani.
 
Wenye hizo investments huwa hawajitangazi, huo ni ulimbukeni: Anyway swali halikuhusu, kurukia lisilokuhusu tu inaonyesha kama nawe una investments basi ni YOUR DREAMS. I.D.I*T
Ni wewe uliyevutiwa na maisha yake ukawa na kihele hele na gut ya kutaka kujua anaishi vipi. Tumekupa jibu, unaona wivu. Tafuta maisha, wenzako waliisha tafuta muda mrefu. Utabaki kushangaa shangaa tu ukiona watu wanashinda hapa JF.

Usije ukajitia kitanzi bure baada ya kusikia jinsi gani watu wanatanua katika maisha yao.
 

mkuu uko faster usipime hasa ulivyoinasa hiyo ya diamond walivyomdaka juu ,maana ilitokea haraka sana.
 

Aunt Unavyonijibu kama unanijua vile, naishi vipi au namiliki nn na nn: Naona umeamua kuweka pembeni ID yako ya BUNGENI na kunijibu kwa kutumia ID yako ingine: Jibu basi unalipwa kiasi gani kwa kupost 56 times kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…