Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,892
Nipo katika mitaa ya mji kasoro bahari kama kawaida naona jezi za CCM zimetapakaa maeneo mengi ya mji huku maroli na mabasi ya abiria yakisombawanachama toka pande zote za mkoa ili kuhudhuria mkutano wao.
Bodaboda zinaanza kuadimika mara baada ya CCM kuwakodisha kwenda katika maandamano
Kama kawaida yao Katibu wa Zanzibar aanza na mipasho kwa kukashifu CUF kuwa toka kinaanzishwa baba na mama na kitanda kilivyoanzishwa na mimba ilivyoingia anajua.
Ila kwa ufupi watu ni wachache mnoo sio kama ilivyotarajiwa na raia wengi wamekaa kwenye viti.
Updates.
Mbunge wa morogoro anaongea ila kama JK lazima asome.
Nape anaona watu wanaondoka anawambia Diamond anatudi stejini kuburudisha