Live Updates: Lowassa Coments 232. Magufuli Coments 65. Watanyooka Tu

Wanaomkataa wengi mno.ni budi wateteaji ambo ni wale wale kwa majina tofauti wajivingirishe hivyo hivyo
 
Sasa vijana msiiwe na hasira sana nenda kapige vzr mamvi anashinda mapema saa nne
 
Leo Lowassa yupo Pemba na mpaka sasa updates yake hapa JF ina comments 235. Magufuli jumlisha fiesta yupo singida mjini na ana comments 65,. Hali ni ngumu nyumba ya jirani watu wanasusia post zao. Lowassa anaendelea kumnyoosha Magufuli kila kona
Hiyo ni dalili kuwa ukawa wasomi na wanafuatilia mitandao na zzm kinyume chake.
 
Mashabiki wa magufuli ni watu na hadhi zetu hvyo tuko busy na kusaka ngawira,sasa hao wa lowasa hawana kazi zingne zaidi ya muda wote kuwa jf kuanzisha mada zenye mchanganyko wa uharo kama hizi.
 
Leo Lowassa yupo Pemba na mpaka sasa updates yake hapa JF ina comments 235. Magufuli jumlisha fiesta yupo singida mjini na ana comments 65,. Hali ni ngumu nyumba ya jirani watu wanasusia post zao. Lowassa anaendelea kumnyoosha Magufuli kila kona
Wafuasi wa ukawa sijui wanamatatizo gani aisee? Kwahiyo Rais anaamuliwa kwa comments sio? Comments zimekuwa nyingi kwa sababu mnaandika utumbo watu kama sisi lazima tuingie ili kurekebisha utumbo wenu...
 
Cheche che che che-sisimizi kameza pera.

EL wanyosso.
 
Leo Lowassa yupo Pemba na mpaka sasa updates yake hapa JF ina comments 235. Magufuli jumlisha fiesta yupo singida mjini na ana comments 65,. Hali ni ngumu nyumba ya jirani watu wanasusia post zao. Lowassa anaendelea kumnyoosha Magufuli kila kona

Moron, comments siyo kura nyumbu wewe, nyumbu wengi wako jamii forums ndo maana comments ziko nyingi,
 
Mi nimetulia Unataka niamke af nikishaamka nikasimamisha utanipa sister hiyo lulyo yako???
 
Watu wako field sio kushinda kukesha kwenye mitandao km vile hakuna kaz ya kufanya hiyo isiwatie kichwa mkajiona mmemaliza kazi.

Kazi ya mtandao ni kupashana habari ya kunachoendelea field.
Sio kila mtu yupo field.
Na mtandao unasaidia kuwabadili mawazo mburula kama wewe.
Sawa dada??
 
Wafuasi wa ukawa sijui wanamatatizo gani aisee? Kwahiyo Rais anaamuliwa kwa comments sio? Comments zimekuwa nyingi kwa sababu mnaandika utumbo watu kama sisi lazima tuingie ili kurekebisha utumbo wenu...

Katika watu wasiofikiri kabisa ni wewe ndiyo maana bado uko CCM.
CCM ni chama cha wasiokwenda shule na wauza miguu ya kuku sasa wewe sijui unauza miguu au vichwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom