Live Updates: Lowassa Coments 232. Magufuli Coments 65. Watanyooka Tu

Live Updates: Lowassa Coments 232. Magufuli Coments 65. Watanyooka Tu

Yap ni dalili tosha kuwa raisi wetu ni mh LOWASA.ndugu makamanda najua watu hawawezi kung'ang'ania sauti za madebe wakati kuna drums(ngoma).
 
Watu wako field sio kushinda kukesha kwenye mitandao km vile hakuna kaz ya kufanya hiyo isiwatie kichwa mkajiona mmemaliza kazi.
 
Napata raha sana napokutana na wanatz wako na hasira kama zangu...Ikulu nyeupe, roho nyeupe na nywele nyeupe..period!
 
Watu wako field sio kushinda kukesha kwenye mitandao km vile hakuna kaz ya kufanya hiyo isiwatie kichwa mkajiona mmemaliza kazi.

Dada vipi au humuoni Lowassa anavyowafanya matusi huko field? Au huoni babu duni anavyomfanya mana Samia huko field? Amka kilaza wewe
 
Dada haelewi co mtandaoni tu huko field anakokusema ajiambie ukwel wa2 wanataka ccm?
Dada chagua UKAWA Kwa kesho yako na ya watoto, wajukuu zako....tunataka kuifumua tz na kuijenga upya tukianza na katba mpya ambayo ndo kiini cha uozo ndani ya serikal ya ccm
 
Napata raha sana napokutana na wanatz wako na hasira kama zangu...Ikulu nyeupe, roho nyeupe na nywele nyeupe..period!
 
Leo Lowassa yupo Pemba na mpaka sasa updates yake hapa JF ina comments 235. Magufuli jumlisha fiesta yupo singida mjini na ana comments 65,. Hali ni ngumu nyumba ya jirani watu wanasusia post zao. Lowassa anaendelea kumnyoosha Magufuli kila kona

Unadhani kura za Oct 25 ni kama za tuzo za muziki unazokaa na kuklik tu?
Mara mia mara elfu hakuna noma.

Oct 25 mtu 1 kura 1
 
Hapa ni kazi tuu comment peleka kule, hatutaki wasanii. Ikulu
 
Watu wako field sio kushinda kukesha kwenye mitandao km vile hakuna kaz ya kufanya hiyo isiwatie kichwa mkajiona mmemaliza kazi.

teh teh wewe mbona hujaenda huko "field" au wamekuacha ulinde nyumba? hahahaha ccm adi mnatia huruma.. toroka uje wewe
VIVA UKAWA!!!!
 
Unadhani kura za Oct 25 ni kama za tuzo za muziki unazokaa na kuklik tu?
Mara mia mara elfu hakuna noma.

Oct 25 mtu 1 kura 1

Mkuu JF ni kipimo tosha yani inaweza tumika kama sample kujua hali ikoje maana hapa kila mtu anawakilisha kila pande ya Tanzania. So unaeza pata picha
VIVA UKAWA!!!
 
Mkuu JF ni kipimo tosha yani inaweza tumika kama sample kujua hali ikoje maana hapa kila mtu anawakilisha kila pande ya Tanzania. So unaeza pata picha
VIVA UKAWA!!!

Kama JF ni kipimo tosha Ben Saanane angekuwa mbunge wa Rombo hivi sasa.
 
Lowassa ni jiwe kuu la mabadiliko lilikataliwa sasa limekuwa jiwe la thamani Tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom