Ewe MOLA tusaidie kulipa kisasi kwa huyu kiumbe, maana ulisema Kisasi ni cha BWANA! Sisi hatuna uwezo wa kimlipizia ubaya yote tumekuachia wewe BWANA wa majeshi!
Dah huyu Mourihno bana
Eti kabla ya Penalti mambo yalikuwa sawa
Ila safi kakubali mziki wa Atletico ulikuwa mkubwa
MKUU JM huwezi kumlaumu hapo, kwa mpira waliocheza Atl hasa wa kipindi cha pili, timu yoyote duniani unayoijua ingekalishwa!Tatizo JM hawezi kupewa shavu Utd kwa sababu ya Style ya mpira wake
Tumetoka kwenye "Boring football", haiwezekani turudi tena huko huko.
Ila nina wasiwasi sana na vibarua vya Pep na Mourihno
rubaman
Mrusi atampeleka akafanye kazi Ukraine anataka mchezo kazini Yule timu aliokuwa nayo Maureen ataona hata aibu kuomba mapesa kwa Mrusi hakuna sababu.Mpiga domo kawaida yake...sasa kibarua kipo kwenye hati hati...
Hao Emirates hata wachukue haina shida...nilikuwa na tabu sana ya Loserfools kushinda EPL na hawa Chel$ki$ kushinda UCL...
Asante..morinyo a.k.a mzee wa kupaki kontena kala mvua ya magoli darajani...MCHANA NLIWEKA UZI KUA MORINYO ANATOKA KUNA MDAU AKAPINGA .mara nyingi anayemtoa barcelona ndie anakua champion poleni wAzEe Wa KuPaKi BaSi...
Imekula kwa Mourinho, Kafunga kopo leo. AT Madrid 3 Vs Chelsea 1, Aggregate 3:1. Remember its Chelsea home-ground with a big shame to a talkative man like Mourinho
Mrusi atampeleka akafanye kazi Ukraine anataka mchezo kazini Yule timu aliokuwa nayo Maureen ataona hata aibu kuomba mapesa kwa Mrusi hakuna sababu.