Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Etoo Kafanyaje? Sikuona aliesababisha penaty ni yeye?
Ndiyo...kuingia tu, kasababisha penalty...Diego Costa akawakalisha..
Etoo Kafanyaje? Sikuona aliesababisha penaty ni yeye?
Huu ni mwaka wa fainali ya waspain, nawapongeza Chelsea kwa hatua waliyopiga so far but kufika fainali ni issue ya kusadikika.
Acha kabisa..nasubiri.press conference atasemaje....sheee.nzy
Kwani Ab-Titchaz na Invisible wako team gani mkuu?
Hatokei kamuachia John terry aseme na waandishi hahaha
Jamani matokeo vp umeme umekatka hukuu
Haaaa UEFA watampiga faini lol
Jamani matokeo vp umeme umekatka hukuu
Etoo Kafanyaje? Sikuona aliesababisha penaty ni yeye?