Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Wakuu Skype na juve2012 Hawa wako vzr na kipidi cha pili wamecheza vzr sn!

Wanastahili na Chelsea wamefanya makosa wao wakatumia hizo nafasi!
 
Last edited by a moderator:
yaani namna chelsea walivyokua wanacheza kama vile walikuwa wanakochiwa na devid moyes....
 
Wakuu Skype na juve2012 Hawa wako vzr na kipidi cha pili wamecheza vzr sn!

Wanastahili na Chelsea wamefanya makosa wao wakatumia hizo nafasi!

Lakini BA na Etoo pia walikua na fursa ya kupachika mabao ila ndo ivo tena bahati haikua yao.
 
Last edited by a moderator:
Nilidhani Josee Mara, kumbe Joseee Morinyo msema hovyo, Leo vuvuzela lake limejazwa mate na Cholo, chezea Cholo wewe. Na mihela yote ya Abramovic anatoka mikono mitupu. Bora Benitez alishinda UEFA ndogo ya Alhamisi
 
kiukweli roho yangu nyeupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hao Emirates hata wachukue haina shida...nilikuwa na tabu sana ya Loserfools kushinda EPL na hawa Chel$ki$ kushinda UCL...

Msituwekee uchuro subirini cku 17 zijazo tujaribu kukata ngebe
Cc DonDonald
 
Risk of packing bus
 

Attachments

  • 1398896149939.jpg
    1398896149939.jpg
    23.2 KB · Views: 191
atletico madrid jana wametafuna mfupa uliowashnda galatasaray,psg na liver pia wameweka rekodi ya kumpiga chelsea nyumbani kwa magoli mengi nusu fainali ucl.....jana kwa nn walishindwa kupaki basi?
 
Back
Top Bottom