strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,312
Tukuulize wewe tausi kwann walishindwa!?
aiseeee hawa jamaaa walikuwa wanachonga sana mbona wangeshinda leo hayo makerere mpaka siku ya fainali mbona tungekoma
Bus limetekwa na maharamia wa kisomali
Lisbon
Chelsea walimalizia nguvu kwenye game ya Liverpool!
Walopaki baso vizuri dakk za mwanzo ila baada ya kupata goli moja na jamaa kuchomoa ikawa kupaki basi tena haiwezekani maana matokeo ya 1 1 yangemtoa chelsea hivyo ikawalzima kupanda mbele kurafuta goli na ndio hapo mambo yakaharibika beki zokawa uchochoro...maana beki za chelsea zimezoea kusaidiwa na wachezaji kumi wote ndani ya boksi...sasa walipoacha beki wa kawaida wenyewe ndio waloposhinda kumudu mikikimikiki ya Atletico. SHIKAMOONI ATLETI, Shabiki la Liverpool
MARAHABAAAAAAAA! Hapo ndo inadhihirisha kuwa bila masemi-trailler Chelsick hamna kitu kabisa! Rodgers alisema ni rahisi sana kufundisha wachezaji 9 ndani ya box! Shabiki mwenzio wa Liverpool!
Mabingwa wa mabasi wamekuta parking imejaa treni
Acha dua mbaya kwa aseno miaka tisa mkuuNinasubili kumsikia atasemaje baada ya mpira
Ohh kumbe Stamford Bridge na wao wanatoka Kapa kama Ol Traford vile
Safi sana
Anfield kapa, Stamford Bridge kapa, Emirates {Dah Hull City plz do us a favour}