ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
ongeza na ab tichaz na invisible..
Last edited by a moderator:
ongeza na ab tichaz na invisible..
Maureen mpiga domo, leo ameufyata..
Ewe MOLA tusaidie kulipa kisasi kwa huyu kiumbe, maana ulisema Kisasi ni cha BWANA! Sisi hatuna uwezo wa kimlipizia ubaya yote tumekuachia wewe BWANA wa majeshi!
Man city nao hawaeleweki wanaweza wakadroo na Tofees
Watu msio tembea pekeyenu Inaokana mnamchukia sana JOSEEE kwa majambo aliyowafanyia juzi.....!!
Sipati picha media za kesho UingerezA....domo