Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

MKUU JM huwezi kumlaumu hapo, kwa mpira waliocheza Atl hasa wa kipindi cha pili, timu yoyote duniani unayoijua ingekalishwa!


Hata kama JM angeamua kupaki mabehewa yake tangia kipindi cha kwanza kama alivyofanya na Liverpool?


JM/Chelsea hawana plan b hilo ndio tatizo lao, wakiamua kufungua tuu, timu yeyote inayomiliki mpira na kushambulia kama A/Madrid lazima itaifunga

Tatizo hili hata Bayern wanalo
 
Ni vema hii fainali ulinzi uimarishwe hasa upande wa mashabiki.hawa jamaa ni wapinzani sana.
 
chelsea imeweka rekodi ya kuruhusu magoli mengi nyumbani kama bayen jana wote hawakustahli nusu fainali
 
dada tausi ...we acha kwa jinsi nilivyofurahi hapa
 
Breaking News: Chelsea Bus has been broken down !!. Mfupa uliomshinda Liverpool umevunjwa vibaya sana na #Team #Atletico . Viva ATM

ImageUploadedByJamiiForums1398893242.580982.jpg
 
Wakuu mi niko nimejaa tele!

Nimekubali Wakuu basi mbili zimepitiwa!
 
Lisbon
 

Attachments

  • 1398893471700.jpg
    1398893471700.jpg
    52 KB · Views: 82
  • 1398893486275.jpg
    1398893486275.jpg
    58.7 KB · Views: 69
  • 1398893503224.jpg
    1398893503224.jpg
    55.2 KB · Views: 74
Walifikiri wanakutana na galatasaray, wakajikuta wanakutana na midume ya nguvu na hatimae dada chelsea akabakwa hadharan tena kitandani kwake.......polen sana dada zetu
 
Aisee ATM wanastahili Ushindi wamejiandaa vzr!
 
Back
Top Bottom