Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

bel bosque bado hataki kufungua uwanja, torres na mata watoke, waingie navas na martinez
 
Half Time Brazil 2 Spain 0
 
wakuu asanten kwa updates.angalau na mim wa mashambani huku porin nahabarika kisoka.dah safi sana brazir.
 
Espana chali leo.

Wamechanganyikiwa.

Na kombe la dunia linabaki Brasil mwakani.
 
leo hawa combination ya Barca na Madrid watakiona cha mtemakuni
 
bel bosque bado hataki kufungua uwanja, torres na mata watoke, waingie navas na martinez

kaka anatamani iwe hivyo lakini ndio haiwezekani yaani brazil wanachofanya nikufunga magoli mengi ili waanze kufanya madoido na lile goli laa fred ndio limewapoteza wa spain ..
 
FIFA rankings: Spain (1), Brazil (22), mpira uliochezwa leo hauna correlation na rankings hizi, nadhani Brazil wako wrongly ranked!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu Neema ni hatari kweli,kina Ramos wanaishia kupewa kadi tu
 
lile goli la fred liliwachanganya sana waspain wamepotezwa kabisa
 
na vizuri zaidi wa brazil wanaenda mtu namtu hawawaachi kupiga zile pasi fupi zao
 
Back
Top Bottom