ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
nakujiangusha! ila kama kila mmoja ana tension
umeona enhee..
ball possession
brazil 49 spain 51
nakujiangusha! ila kama kila mmoja ana tension
Heri mpaka mapunziko matokeo yabaki hivi kwanza wasisawazishe
aiseee chelsea players wanajua kutoa magoli hatari.. good save david luis
Heri mpaka mapunziko matokeo yabaki hivi kwanza wasisawazishe
it was crucial save, as neymar score the 2nd