ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
Mkuu utakuwa macho?
nitakuwa macho vizuri tu..
Mkuu utakuwa macho?
nitakuwa macho vizuri tu..
watu wengine mambwiga kweri keri....nimeona live nikajua mechi imeanza.....
Natabiri NEYMAR kuwa mchezaji bora...na BRAZIL kushinda 2-1 dhidi ya mahasimu wake HISPANIA
believe me spain 3 brazil 1natabiri neymar kuwa mchezaji bora...na brazil kushinda 2-1 dhidi ya mahasimu wake hispania
believe me spain 3 brazil 1
matokeo ngapi ngapi ?
Hapo ni Maracana Stadium (watu zaidi ya laki moja) huo uwanja unahistoria kubwa sana katika soka la Brazil sioni namna Spain wanaweza kutoka salamaMashabiki wa Brazil wana furaha sana harafu wamefulika kweli kweli.