Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Guadiola atafute timu jamaa hawawezi kumuelewa kabisa, ball possession lundo magoli nil. Hapo lazima wakubaliane kutokukubaliana.
 
Bado wale wanaocheza mpira wa karne ya 19, wapaki basi na nyumbani kwao nyambafu
 
Nilikwambia mdau Bayern ya msimu huu ni mbovu ina mbinu dhaifu sana, safari yao ilipaswa kuisha kwa Arsenal ila ile kadi nyekundu na mistake ya Ozil viliwabeba.

Mna nafasi kubwa sana kuchukua hili kombe ila kwenye fainali mtakutana na team ngumu sana, itabidi mjishike siku hiyo
 
Nilikwambia mdau Bayern ya msimu huu ni mbovu ina mbinu dhaifu sana, safari yao ilipaswa kuisha kwa Arsenal ila ile kadi nyekundu na mistake ya Ozil viliwabeba.

Mna nafasi kubwa sana kuchukua hili kombe ila kwenye fainali mtakutana na team ngumu sana, itabidi mjishike sana siku hiyo
 
Mna nafasi kubwa sana kuchukua hili kombe ila kwenye fainali mtakutana na team ngumu sana, itabidi mjishike sana siku hiyo

Lazima tugawane makombe na Atletico, wamekomaa la liga lkn hili tunanyakuwa mikononi mwao, Real wakiamua kufunguka ni timu imara inayoweza kukupa madhala muda wowote kwa jinsi zile BBC zinavyojua kuchungulia milingoti huku wakimezeshwa na Di maria na Modrich, tatizo uwa hatujiamini kuwa tunaweza.
 
Back
Top Bottom